monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Endelea kuleta mrejeshoNime update original post, Stage 2, Leseni ya Biashara Manispaa, ofisi ya Afisa Biashara.
Ni kweli mkuu, hapo kwenye TIN kadanganya, ila kwenye leseni kasema ukwel. Ngoja tusubiri mwendelezo tuone utamalizika vipiHii ya leo kali ndio kwanz nasikia kutoka kwako, kwa nijuavyo mimi ukienda kuomba TIN unapigwa maswali juu ya biashara unayotaka kuifanya tgen unapewa TIN bureeee
Hamna kitu nilichodanganya hapo mkuu, ninaandika kile nachokutana nacho katika huu mchakato lengo ni kuwashirikisha watu wengine experience ya mchakato na changamoto ninazo/nitakazopitia na pia hapa hapa napata ushauri ninapokwama.Ni kweli mkuu, hapo kwenye TIN kadanganya, ila kwenye leseni kasema ukwel. Ngoja tusubiri mwendelezo tuone utamalizika vipi
Mkuu hata sisi tumepita tumepita huko, lengo lako unataka kuwaaminisha wanaJF kuwa TRA tanzania nzima wako hivyo, jaribu na ofisi nyingine ya TRA ili uthibitishe research yakoHamna kitu nilichodanganya hapo mkuu, ninaandika kile nachokutana nacho katika huu mchakato lengo ni kuwashirikisha watu wengine experience ya mchakato na changamoto ninazo/nitakazopitia na pia hapa hapa napata ushauri ninapokwama.
Mkuu hata sisi tumepita tumepita huko, lengo lako unataka kuwaaminisha wanaJF kuwa TRA tanzania nzima wako hivyo, jaribu na ofisi nyingine ya TRA ili uthibitishe research yako
Hilo swali angekuwepo yule Jamaa Charles Mwijage angesema hicho ni kiwandanje kidogo ya maada,je? ni kiwango kipi cha mtaji mtu anatakiwa awe na TIN na lesini ya biashara.kuna mtu anauza vitu vidogo sana eneo la shule hata mtaji haufiki laki tano ,tuseme anatengeneza vitu wanafunzi wanakula.huyu anayo frame.
lakini kuna mtu anamwaga vitu chini kkoo mzigo wa 2m,huyu analipia kitambulisho cha ujasiliamali
hii inakaaje
nje kidogo ya maada,je? ni kiwango kipi cha mtaji mtu anatakiwa awe na TIN na lesini ya biashara.kuna mtu anauza vitu vidogo sana eneo la shule hata mtaji haufiki laki tano ,tuseme anatengeneza vitu wanafunzi wanakula.huyu anayo frame.
lakini kuna mtu anamwaga vitu chini kkoo mzigo wa 2m,huyu analipia kitambulisho cha ujasiliamali
hii inakaaje
sasa mfano hawa mam lishe unakuta amechukua frame ndogo tu inameza na viti 5,huyu anakuwa kwenye kudni lipi,mjasiliamali au mfanyabiashara mwenye TIN na leseni....Ndugu kwa uelewa wangu kupitia huu mchakato nnaoendelea nao, kupata Leseni ya aina ya biashara yangu (Uwakala) hawahitaji kufahamu mtaji (hamna mahali kwenye form panapokutaka ujaze ukubwa wa mtaji wako).
Labda katika TIN, huko watasaidia wataalamu na wazoefu wengine hapa
sio kweli mkuu mimi nilienda kuomba TIN no. nikapewa siku hiyohiyo na sikupeleka kitu, huyo mhudumu ni kanjanja
sina sababu ya kuongopa mkuuOfisi gani hiyo walikupa bila usumbufu? Labda tuanzie hapo
Ndugu kwa mwenendo huu, nahisi ufahamu unakoelekea. Hapo unahangaika upate TIN na leseni ndio unaenda kulipa frem hata line huna. Hivi unafahamu muda utakao tumia kupata hizo line kutoka kwa hayo makampuni?
Usione watu wanatumia line watu wengine ukahisi wanapenda, kwa mwenendo huu hii biashara unaweza kuichukia mapema kwa mizunguko utakayo pitia.
Nakushauri utakapo lipia frem tafuta line za majina ya watu wengine uanze biashara baada ya kupata leseni na TIN utapata line za majina yako, vinginevyo miezi 6 kodi unaweza isha na line usipate.
Kila LA kheri mkuuMkuu asante kwa kulizungumzia hili. Suala la kuchelewa kupata line nimefikiria, lakini kama nilidhamilia kufuata taratibu zote nitajitahidi kukimbizana na muda ili niweze kuanza biashara hata kwa line moja, kwani si line zote nitachelewa kuzipata. Lakini nikishindwa kabisa basi option uliyoisema ya kutumia line zenye majina tofauti itakuwa haiepukiki na itakuwa kimbilio la mwisho kabisa na nitaleta report hapa pia.
Nadhani hata ukinunua line kwa mtu itakuwa rahisi kuibadilisha nakusoma majina yako kwa kuwa tayari unayo tin namba yako.Mkuu asante kwa kulizungumzia hili. Suala la kuchelewa kupata line nimefikiria, lakini kama nilidhamilia kufuata taratibu zote nitajitahidi kukimbizana na muda ili niweze kuanza biashara hata kwa line moja, kwani si line zote nitachelewa kuzipata. Lakini nikishindwa kabisa basi option uliyoisema ya kutumia line zenye majina tofauti itakuwa haiepukiki na itakuwa kimbilio la mwisho kabisa na nitaleta report hapa pia.
Nadhani hata ukinunua line kwa mtu itakuwa rahisi kuibadilisha nakusoma majina yako kwa kuwa tayari unayo tin namba yako.