Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 197
safi kabisa,Mungu awaongozeHi great thinkers baada ya juzi mwalimu mstaafu kuwapa mitaji wanae pesa zimeanza kutumika kama ifutavyo:
Watoto wa kike wawili wamenunua shamba ekari tano wameshanunua miche ya michungwa wanajiandaa kuipanda.
Wawili wa kike kila mmoja wamenunua vifaa vyote muhimu vya kufungua migahawa ikiwemo meza viti mapoti makubwa chupa za chai sahani wanaendeleza na kuboresha migahawa walikuwa wakifannya hivyo awali.
Mwalimu kanunua machine ya kutotolesha vifaranga anaboresha banda lake la kuku na bata pia mbuzi.Mdogo wao wa mwisho wamempeleka Veta Tanga kusomea mechanics.Nitaendelea kuwapa updates.
Funzadume acha uchoyo [emoji35]Hivi ukistaafu unawapa mafao yako watoto wako au unayahifadhi na kuwekeza yakusaidie siku za usoni? binafsi nawekeza sana kwenye elimu ya wanangu na kuwafundisha kujitegemea. Mafao nitayatumia na mama yao nikija staafu inshallah
sio uchoyo wape watoto elimu bora kipindi ukiwa na nguvu sio kuwaacha mkaja kugawana mpaka mafao yako ya uzeeni. Kipindi unastaafu watoto wanatakiwa wawe msaada kwako na sio wewe unawasaidia huko ni kufeli kwa hali ya juuFunzadume acha uchoyo [emoji35]
Hujasoma thread iliyopita aliyefanikiwa ni mmoja tu kati ya watoto sita hivyo akaona awape mtaji wanae hata hivyo akija zeheka hao hao watoto watakuja msaidia tusio uchoyo wape watoto elimu bora kipindi ukiwa na nguvu sio kuwaacha mkaja kugawana mpaka mafao yako ya uzeeni. Kipindi unastaafu watoto wanatakiwa wawe msaada kwako na sio wewe unawasaidia huko ni kufeli kwa hali ya juu
kweli sikusoma topic ya kwanza ila kuna mapungufu tayari kumbe. Pole yake hata hapo kufanikiwa itakuwa ngumu sana Zaidi kutakuwa na kulaumiana tu anyway maji yameshamwagika hayazolekiHujasoma thread iliyopita aliyefanikiwa ni mmoja tu kati ya watoto sita hivyo akaona awape mtaji wanae hata hivyo akija zeheka hao hao watoto watakuja msaidia tu
Uchoyo tu ndo nyie mnaochukiwa na watoto wenu kiasi cha kuombewa mtangulieNi aibu watoto kudowea pensheni ya baba! Pension ya baba ni ya kumlinda hadi kifo!!
Mkuu alietaka kuwagawia ni mzee mstaafu mwenyewe kwa lengo la kuwasaidia wanae. Hizo fkra zako zipo sahihi lkn Mshua kafanya hvyo kwa Upendo.sio uchoyo wape watoto elimu bora kipindi ukiwa na nguvu sio kuwaacha mkaja kugawana mpaka mafao yako ya uzeeni. Kipindi unastaafu watoto wanatakiwa wawe msaada kwako na sio wewe unawasaidia huko ni kufeli kwa hali ya juu
Kama mzee alishajijenga mzee hata awe na mamilioni atazimaliza kidogo kidogo akizinywa chai kahawa matako ya ngombe chapati mayai kuku na nke MDOGO kuwapa watoto kawekeza isitoshe watoto hawakufanikiwa kielimu.Zikijaisha watoto watamtenga kabisa huku wakimwambia fainali uzeeniKuna haja ya kutolewa semina kabla mstaafu hajapewa mafao ili tupunguze vifo vya kabla ya wakati vya hawa wazee. Zile pesa sio za urithi na sio nyingi kama ambavyo huwa zinaonekana mara zinapotolewa. Zinatakiwa kutumika kumuweka mstaafu katika hali njema uzeeni.
Mkaka ya Leo sio yenu,elimu pekee bila pesa/mtaji sio msaada kivile ikizingatiwa watu walisoma wapate ajira na ajira zinazinguasio uchoyo wape watoto elimu bora kipindi ukiwa na nguvu sio kuwaacha mkaja kugawana mpaka mafao yako ya uzeeni. Kipindi unastaafu watoto wanatakiwa wawe msaada kwako na sio wewe unawasaidia huko ni kufeli kwa hali ya juu
Sijaelewa mantikiqHi great thinkers baada ya juzi mwalimu mstaafu kuwapa mitaji wanae pesa zimeanza kutumika kama ifutavyo:
Watoto wa kike wawili wamenunua shamba ekari tano wameshanunua miche ya michungwa wanajiandaa kuipanda.
Wawili wa kike kila mmoja wamenunua vifaa vyote muhimu vya kufungua migahawa ikiwemo meza viti mapoti makubwa chupa za chai sahani wanaendeleza na kuboresha migahawa walikuwa wakifannya hivyo awali.
Mwalimu kanunua machine ya kutotolesha vifaranga anaboresha banda lake la kuku na bata pia mbuzi.Mdogo wao wa mwisho wamempeleka Veta Tanga kusomea mechanics.Nitaendelea kuwapa updates.
ni kweli ila mambo yanabadilika wenzetu familia zinakuwa tajiri kwa kuwa wanawezeshwa na wazazi/familia zao mfano bakresa,manji,rothschilds,rockefeller sasa sisi wazee wakiondoka waliobaki mnaanza upya badala ya kuendeleza walipoanchia wazazi. me naona hajakosea kwanza amechelewa sa hivi angekuwa na vitega uchumi vya kutosha ni kama anasahihisha makosa yake kwa watoto wake na kizazi kijacho. ndio maana matajiri wanazidi kuwa matajiri na masikini wanazidi kuwa masikini.Hivi ukistaafu unawapa mafao yako watoto wako au unayahifadhi na kuwekeza yakusaidie siku za usoni? binafsi nawekeza sana kwenye elimu ya wanangu na kuwafundisha kujitegemea. Mafao nitayatumia na mama yao nikija staafu inshallah
Na hiyo mzee aliwa nyima elimu ndipo alipokoseasio uchoyo wape watoto elimu bora kipindi ukiwa na nguvu sio kuwaacha mkaja kugawana mpaka mafao yako ya uzeeni. Kipindi unastaafu watoto wanatakiwa wawe msaada kwako na sio wewe unawasaidia huko ni kufeli kwa hali ya juu
Matajiri wanawekeza elimu kwa watoto wao na wanawaandaa sana ili wazidi kuwa matajiri Zaidi ya wao. Hapa kosa ni kutowapa elimu bora watoto ambapo mwisho wa siku wanakuja kula mafao yako ya uzeeni na matokeo yake hapo ni lawama tu baadae kuwa nilikusaidia na wewe unisaidie wakati hilo lilitakiwa lije automaticni kweli ila mambo yanabadilika wenzetu familia zinakuwa tajiri kwa kuwa wanawezeshwa na wazazi/familia zao mfano bakresa,manji,rothschilds,rockefeller sasa sisi wazee wakiondoka waliobaki mnaanza upya badala ya kuendeleza walipoanchia wazazi. me naona hajakosea kwanza amechelewa sa hivi angekuwa na vitega uchumi vya kutosha ni kama anasahihisha makosa yake kwa watoto wake na kizazi kijacho. ndio maana matajiri wanazidi kuwa matajiri na masikini wanazidi kuwa masikini.