chiko mkunungu JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 729 Reaction score 646 Jan 25, 2017 #1 Ivi mastaa wanaotongozana kupitia media mbn awatuletea feed back zao mrejesho imekuwaje wamekubaliana au ndo wametoleana njee mfano sterio alivyo mtongoza chemical atujapata mrejesho bado...[emoji2] [emoji2] mzee wa hiphop ngumu kanasa...
Ivi mastaa wanaotongozana kupitia media mbn awatuletea feed back zao mrejesho imekuwaje wamekubaliana au ndo wametoleana njee mfano sterio alivyo mtongoza chemical atujapata mrejesho bado...[emoji2] [emoji2] mzee wa hiphop ngumu kanasa...