chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
Ivi mastaa wanaotongozana kupitia media mbn awatuletea feed back zao mrejesho imekuwaje wamekubaliana au ndo wametoleana njee mfano sterio alivyo mtongoza chemical atujapata mrejesho bado...[emoji2] [emoji2] mzee wa hiphop ngumu kanasa...