Mrejesho

Mrejesho

Sefu jafary

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
382
Reaction score
258
Habari gani wadau wa nguvu,siku za nyuma nili post thread ya kutafuta mwenza.
Katika ile post nili toa vigezo vya mtu ambaye naitaji kuwa naye.
Kuanzia siku ile madada wengi walijitokeza wengi wakiwa Jf members kila mmoja akijigamba kuwa anaitaji ndoa kachoka kuwa single na hata kama kapungukiwa na vigezo yupo tayari kubadilika.
Na mimi sikuwa na budi kukubali,ikabidi tupeane namba za simu kwaajiri ya mawasiliano.
Mawasiliano yaliendelea vizuri tukafahamiana,baadhi yao walikuwa na kazi serikalini na wengine walikuwa wana kaz zisizo za serikali.
Ila nilichokuja kugundua karibia wote wanataka mwanaume ambaye ana kazi nzuri,nimepata kugundua kutokana na kaz niliyo sema nafanya ilikuwa ya kawaida na haikuwa ya serikali.
Baada ya kutambulisha mawasiliano yalipungua kwa kiwango kikubwa.
Nilipata kujifunza kuwa wanawake wengi wanataka mwanaume ambaye kashafanikiwa.
Hivyo wananaume inabidi tukaze buti asee, japo kigezo icho pia kinafanya dada zetu wengi wakae mda mrefu bila kuolewa na kuishia kuzalishwa tu.
Sababu wenzetu kigezo chao kikubwa ni kazi nzuri ambayo imewazidi wao mfano kama mkeo ni mwalimu wa msingi ww unatakiwa uwe mwalimu wa secondary kinyume na hapo lazima utii order.
Na mwanaume ukitii order kwa maana iyo umeruusu kichwa cha familia awe mama badala ya Baba.
 
Bado mkuu ila majiko ya mitandaoni yananipa wasi wasi QUOTE="Askof tza, post: 31164531, member: 492787"]Kwa hiyo jiko umepata au umekosa[/QUOTE]
 
Sio mke tu mkuu hata michepuko pia inataka kujua inatembea na mtu mwenye nguvu gani ya kiuchumi.Ni bahati sana kupata wa kuanza naye chini mpaka kufikia mafanikio,na hata ukimpata anaweza kuwa hujampenda.Cha muhimu tafuta ela,hayo yote yatapita.
 
Pesa kwanza mapenzi baadaye!
Sio mke tu mkuu hata michepuko pia inataka kujua inatembea na mtu mwenye nguvu gani ya kiuchumi.Ni bahati sana kupata wa kuanza naye chini mpaka kufikia mafanikio,na hata ukimpata anaweza kuwa hujampenda.Cha muhimu tafuta ela,hayo yote yatapita.
 
Eti japokuwa vigezo hivyo vinawafanya wakae muda mrefu bila kuolewa....naona unatafuta huruma pambana na yali yako
 
Sio mke tu mkuu hata michepuko pia inataka kujua inatembea na mtu mwenye nguvu gani ya kiuchumi.Ni bahati sana kupata wa kuanza naye chini mpaka kufikia mafanikio,na hata ukimpata anaweza kuwa hujampenda.Cha muhimu tafuta ela,hayo yote yatapita.
Huyo ndio kabisaaa yaani unichepukie halafu uniletee p*mbu zako tu? Yaani nikachomwe kwa kutembea na mume wa mtu na mimi sijafaidi chochote?
 
Ngoja wakutane na sisi tuliooa wenye maisha na kazi nzuri tuwajaze mimba na kuwasukumia nje!
 
Huyo ndio kabisaaa yaani unichepukie halafu uniletee p*mbu zako tu? Yaani nikachomwe kwa kutembea na mume wa mtu na mimi sijafaidi chochote?
Mkuu wewe unawapenda wenye kipato kidogo
 
Walio kwishafanikiwa ndo wanapataga watoto wazur balaa sababu pesa zao ndo huongea.
Ngoja wakutane na sisi tuliooa wenye maisha na kazi nzuri tuwajaze mimba na kuwasukumia nje!
 
Back
Top Bottom