SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Kuna kitu mnakosea sana hasa mnapotafuta wenza mitandaoni.
Unapotafuta mwenza mitandaoni, usielezee hali halisi ya uchumi wako, hiyo inakusaidia wewe kumpata na kumjua akupendaye kwa dhati.
1. Kama una kipato cha 400,000/= kwa wiki basi mwambie unapata 150,000/= kwa wiki.
2. Kama umeshajenga nyumba yako nzuri, mwambie umepanga tu.
3. Kama wewe ni Waziri, basi mwambie wewe ni DC.
4. Kama una gari lako, mwambie umelikodisha au ni mali ya rafiki yako.
Tatizo wanaume wengi tunapendana tuonekane ma-doni fasta hata kwa mtu usiyemjua kwa undani zaidi.

Habari gani wadau wa nguvu,siku za nyuma nili post thread ya kutafuta mwenza.
Katika ile post nili toa vigezo vya mtu ambaye naitaji kuwa naye.
Kuanzia siku ile madada wengi walijitokeza wengi wakiwa Jf members kila mmoja akijigamba kuwa anaitaji ndoa kachoka kuwa single na hata kama kapungukiwa na vigezo yupo tayari kubadilika.
Na mimi sikuwa na budi kukubali,ikabidi tupeane namba za simu kwaajiri ya mawasiliano.
Mawasiliano yaliendelea vizuri tukafahamiana,baadhi yao walikuwa na kazi serikalini na wengine walikuwa wana kaz zisizo za serikali.
Ila nilichokuja kugundua karibia wote wanataka mwanaume ambaye ana kazi nzuri,nimepata kugundua kutokana na kaz niliyo sema nafanya ilikuwa ya kawaida na haikuwa ya serikali.
Baada ya kutambulisha mawasiliano yalipungua kwa kiwango kikubwa.
Nilipata kujifunza kuwa wanawake wengi wanataka mwanaume ambaye kashafanikiwa.
Hivyo wananaume inabidi tukaze buti asee, japo kigezo icho pia kinafanya dada zetu wengi wakae mda mrefu bila kuolewa na kuishia kuzalishwa tu.
Sababu wenzetu kigezo chao kikubwa ni kazi nzuri ambayo imewazidi wao mfano kama mkeo ni mwalimu wa msingi ww unatakiwa uwe mwalimu wa secondary kinyume na hapo lazima utii order.
Na mwanaume ukitii order kwa maana iyo umeruusu kichwa cha familia awe mama badala ya Baba.