Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Mtajua wenyewe hukoLisu katumwa na mabeberu.
Zito anatumika na mabeberu.
Hajasema "NCHI" Kasema "NJI"JF Salaam,
Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.
Mfuatilie kwa makini
Huyu mzee Kansa yake ya ngozi imeanza kula na ubongoJF Salaam,
Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.
Mfuatilie kwa makini
CCM wakienda kuomba omba misaada kwa wazungu huwaita wafadhili wahisani na hao hao wazungu wakiamua kukataa unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani ndipo CCM huwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jikeLisu katumwa na mabeberu.
Zito anatumika na mabeberu.
Hako kazee mrema kananeeka vibaya kanalinda uteuzi wake.JF Salaam,
Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.
Mfuatilie kwa makini
na 60% ya bajeti yetu inategemea mabeberu-basi magufuli na serikali yake inatumika na mabeberuLisu katumwa na mabeberu.
Zito anatumika na mabeberu.
Mtaokoteza vihoja mwaka huu mpaka mtatia huruma. Mmekaukia hojaLisu katumwa na mabeberu.
Zito anatumika na mabeberu.
Njaa ya mrema inatisha kaamua kujitoa fahamu avute pesa kiharamuMzee anatafuta pesa ya kampeni za ubunge Vunjo. Mhurumieni.