Uchaguzi 2020 Mrema na wanachama wa TLP wamlaki Magufuli Himo, awaombea kura wagombea wa CCM na kumzawadia Magufuli Mbuzi

Ukiwa mbobezi wa kuchanganya karata za siasa na kibongo na ushushushu humo humo unafuzu kua mzamivu wa usanii. Yawezekana na uzamivu wa unafki umo pia humo humo. Sihitaji kutaja majina ila tu bado natafakari usanii wa kaka yetu BCM unampeleka wapi, unless kuna jambo siku ile ya kuhitimiza kampeni. Isipotimia basi ntaendelea kupiga ramli za ki-Xhosa, Kisandawi kikwetu kule Ziwa Eyasi.
 
Ndo maana ccm na NECcm hawaeleweki. Ngoja tuone Kama Mahela, jaji Kaijage au Mutungi watatoa karipio au tamko la kulaani hiko kitendo
 

Hakuna lugha nyingine ya kumwita Mrema wa TLP zaidi ya KIBARAKA&KIKARAGOSI Cha CCM!
 
Hakika Magufuli anapendwa sana hadi wapinzani kama Mrema na ubishi wake wote amevua kofia

Hivi Mrema unaweza kusema naye ni MPINZANI kweli zaidi ya bonge la comedian....???!!
Mrema ni KIBARAKA wa CCM tu anayeramba miguu ya Magufuli ndo maana kapewa Uenyekiti wa PAROLE...!!
 
Mrema alimuombea kura Mh.Magufuli pia akajipigia debe

huyu mleta thread anamfanyia Mh.Mrema 'unaa'
 
Nilisema Mrema akishinda ubunge Vunjo natembea uchi sasa yeye mwenyewe kasema kura kwa kimei huyu mzee anachekesha
Tena huyu naamin n wale wanasiasa ambao ataota ndoto mbaya tupu had kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…