Mrembo anaona haya Jamani

Mrembo anaona haya Jamani

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
fm4.jpg
 
Alipotoka nyumbani alikuwa KAVAA VIZURI, akapitia kwa shoga yake akabadili nguo, asionekane MSHAMBA. Kumbe kaja kuumbuliwa ukumbini, mapaja nje nje. Anaficha uso wake nyumbani wasijue. Lakini MIGUU yake ni alama tosha. AMEUMBUKA!

Hivi ndivyo wafanyavyo madada wetu siku hizi, wakidhani wanakwenda na wakati au wataonekana washamba. Heshima kitu cha bure. Dada, jiheshimu. Usipojiheshimu unajidhalilisha mwenyewe, familia, ndugu na jamaa zako.

Natoa ujumbe tu. Mjumbe hauwawi.

Kumbe aibu unayo? Sasa kilichokutuma uvae nusu uchi ni nini?

Mwe!
 
Ah mrembo gani hvyo! Warembo huwa hawana haya wala aibu wakotayari kufanya/kufanyawa chochote ili apate anacho hitaji,
 
Alipotoka nyumbani alikuwa KAVAA VIZURI, akapitia kwa shoga yake akabadili nguo, asionekane MSHAMBA. Kumbe kaja kuumbuliwa ukumbini, mapaja nje nje. Anaficha uso wake nyumbani wasijue. Lakini MIGUU yake ni alama tosha. AMEUMBUKA!

Hivi ndivyo wafanyavyo madada wetu siku hizi, wakidhani wanakwenda na wakati au wataonekana washamba. Heshima kitu cha bure. Dada, jiheshimu. Usipojiheshimu unajidhalilisha mwenyewe, familia, ndugu na jamaa zako.

Natoa ujumbe tu. Mjumbe hauwawi.

Kumbe aibu unayo? Sasa kilichokutuma uvae nusu uchi ni nini?

Mwe!
jamani hapo hajavaa uchi sema hakukaa vizuri hiyo nguo ukiingalia vizuri imejikunjaa tu kwa ajili ya kuangaika asipigwe picha ila akisimama hiyo nguo ni ndefu kabisa.hivi kuvaa uchi unakujua weye?
 
Kiswahili chako hakielewki mazee
 
Alipotoka nyumbani alikuwa KAVAA VIZURI, akapitia kwa shoga yake akabadili nguo, asionekane MSHAMBA. Kumbe kaja kuumbuliwa ukumbini, mapaja nje nje. Anaficha uso wake nyumbani wasijue. Lakini MIGUU yake ni alama tosha. AMEUMBUKA!

Hivi ndivyo wafanyavyo madada wetu siku hizi, wakidhani wanakwenda na wakati au wataonekana washamba. Heshima kitu cha bure. Dada, jiheshimu. Usipojiheshimu unajidhalilisha mwenyewe, familia, ndugu na jamaa zako.

Natoa ujumbe tu. Mjumbe hauwawi.

Kumbe aibu unayo? Sasa kilichokutuma uvae nusu uchi ni nini?

Mwe!

hivi wewe una akili kweli?? Kwa nini kuandika maneno makali kama haya?? Acha maslogani yako ya zamani kuwa mtu akienda disko au kusikiliza mziki au akivaa kimini ni mhuni. Watu kama nyinyi ndio wabakaji wakubwa na hamfai kwenye jamii. Sasa joto lote la dar unataka dada wa watu avae ovaroli?? Fikiria kwanza kabla ya kubwabwaja upuzi wako hapa.
 
Mnenguaji wa FM academia na Ben Kinyaiya....

2j5mfl3.jpg

hwzams.jpg
uyu mshikaji huwa simtofautishi na maymartha...yaani huyo Ben kinyaiya,,,anaonekana kama anajichubua, halafu kama ana mambo ya ajabu fulani hivi..na vile vipini vyake kujifanya mzungu ndo kabisa watu wengine wanamuelewa kama ni...vile...hivi hamnaga mtu wa kumshauri...kuna mtu hapo kweli jamani...
 
Kuna dem mmoja hivi alinambia kuwa jamaa ANASUKUMWA TOPE.
sijajua undani wake labda kama kuna mtu anafahamu chochote kuhusu huyu just atumwagie hapa
 
Kumbe Masanilo is Banned. Asante sana Moderators kwa kazi nzuri. Naona mmepitiwa mkasahau kumpa ban msanii.
 
Kiswahili chako hakielewki mazee

Hutaki kukielewa tu kiswahili chake kiko sawa.
Mimi pia sikuelewi kwa sababu hiyo nguo kwa sehemu aliyoko huyo mdada ni ya heshima sana tu.
Acheni kuwafanya wakosaji pasipo na sababu ya msingi.
 
huyo hajawahi kusomeshwa na mshkaj kama chege ndo maana akajisikia aibu.
 
Back
Top Bottom