Mrembo apandwa mzuka, amnyonya chuchu Diamond JUKWAANI

Mrembo apandwa mzuka, amnyonya chuchu Diamond JUKWAANI

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
BINTI+NOMA.jpg


Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda, akaenda kunyonya chuchu za diamond kama inavyoonekana pichani hapa chini. Kitendo hicho kilimuudhi bwana wake, ambapo alimvuta binti huyo na kumchapa makofi. Katika picha ya pili, binti huyo anaonekana akilia baada ya kuchezea kichapo, huku akiwa amewekwa “chemba” na boyfriend wake
 
mh?..hii kali...kanmnyonya ni mijasho yote hiyo,mpaka karembua.
 
haha haaaaa wonders shall never end oooooooo !
 
Back
Top Bottom