Wamemchokoza wenyewe alinyamaza wakamwona mjinga siye wengine tutabaki watamazaji
ktk hii dunia hakuna kitu kizuri km faraja mi nawaambia
mange mkisoma yule faraja yake ni kina koku na marichui ndo maana anajitahdi kufanya yote awafurahishe wale by hook by crook
ukute alivyotegemea sivyo alivyokuta kwa mme
ana stress yule dada kwanza kapoteza marafiki wengi wazuri tena bonge la company amebaki killy janga na huyo killy kwa sasa sio kivile
upande wa mama ake haelewani nao mama ake hamzungumzii ht km alimkosea kias gani ye angemshukuru kwa kumzaa tu inatosha
yule dada mi mwenzenu naweza sema mbuata nanga na yeye bora mbuta tunamjua ni chizi mwenye vyeti kuliko yule maana
tujiulize ana familia,mme wa ndoto yake,watoto na elimu
kwa nini yuko vile sasa?
je asingekua na hvyo vtu?si angekua mchawi?au jambazi
yule ni wa kumsamehe bure tu maana ile si hali ya kawaida kwa binadamu
kutukanana ndo faraja yake na haezi ishi bila kuchukia watu au kutafuta wagomvi wa kukwazana nao
hatukatai binadamu tuna mapungufu ila ukiona mtu anakwaruzana na kila mtu na hasa mama mzazi huyo sio wa kawaida
am sory mashabiki wake ila kwa upeo wangu mi hayo ndo nimeyaona
namuonea sana huruma yule dada maana kuna siku atahtaji msaada wale anaowatukana ndo watamsaidia na wale mashabiki maandazi wanaompaka mafuta kwa mgongo wa chupa hawatokuepo