Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Zari anaongelewa kwao uganda ,anaongelewa naigeria anaongelewa hapa jamii forum ila mange akimuongelea anakua mbaya eeeheeee hapa watu wangapi wanatukanwa ila zari yeye kawa malaika ...hapa akiwekwa wema anatukanwa akiwekwa kajala anatukanwa akiwekwa mrs nyalandu anachambwa so what so special for zari hao au hao wengine hawana mioyo ya kuumia
 
Kumwongelea Zari anakofanya huyo Mange ni kwa kishari kutaka kumchimba na kumsiliba asilani,historia inamuukumu!Zari is no angel,ila Mange amuwache Zari alale...
 
Tatizo hawezi suluhu.

Wamemchokoza wenyewe alinyamaza wakamwona mjinga siye wengine tutabaki watamazaji

ktk hii dunia hakuna kitu kizuri km faraja mi nawaambia
mange mkisoma yule faraja yake ni kina koku na marichui ndo maana anajitahdi kufanya yote awafurahishe wale by hook by crook
ukute alivyotegemea sivyo alivyokuta kwa mme
ana stress yule dada kwanza kapoteza marafiki wengi wazuri tena bonge la company amebaki killy janga na huyo killy kwa sasa sio kivile
upande wa mama ake haelewani nao mama ake hamzungumzii ht km alimkosea kias gani ye angemshukuru kwa kumzaa tu inatosha
yule dada mi mwenzenu naweza sema mbuata nanga na yeye bora mbuta tunamjua ni chizi mwenye vyeti kuliko yule maana
tujiulize ana familia,mme wa ndoto yake,watoto na elimu
kwa nini yuko vile sasa?
je asingekua na hvyo vtu?si angekua mchawi?au jambazi
yule ni wa kumsamehe bure tu maana ile si hali ya kawaida kwa binadamu
kutukanana ndo faraja yake na haezi ishi bila kuchukia watu au kutafuta wagomvi wa kukwazana nao
hatukatai binadamu tuna mapungufu ila ukiona mtu anakwaruzana na kila mtu na hasa mama mzazi huyo sio wa kawaida
am sory mashabiki wake ila kwa upeo wangu mi hayo ndo nimeyaona
namuonea sana huruma yule dada maana kuna siku atahtaji msaada wale anaowatukana ndo watamsaidia na wale mashabiki maandazi wanaompaka mafuta kwa mgongo wa chupa hawatokuepo
 
geniveros umeongea jambo la maana sana,wengi wanaweza wasione kama wewe,yawezekana hata yeye haoni tatizo!Sikatai kuwa anaweza akawa kachokozwa,lakini why her all the time?Mange ana matatizo katika swala la mahusiano,ana aina fulani ya wazimu,anajiamini kupita kiasi,ana kiburi,shari na inda!Hapendi suluhu wala kujishusha!Pia ana stress sio siri ndio mAana ameandika gazeti refu kaongea mambo mengi mainly kapoint shortcomings za wenzie which makes her feel better,ni wa kuhurumiwa because tatizo lake linahitaji councillor wa kitabibu kabisaaa...
 
Last edited by a moderator:

Umeongea point
 

thnx umenielewa mi nilimsikiaga DK mmoja wa CLOUDS fm mtu km yule kuna jina la kitalaam wanamuita alivyokua anaeleza ndivyo alivyo MANGE
mnisamehe wapenzi wake ila boss wenu ni abnormal huo ndo ukweli
na yule if and only if her mom would be alive ndo angemponya lile tatizo wengine hatuwezi na hamtaweza la bibi mzaa mama au mamkubwa
mnaweza niponda au kunichukulia ni hater as usually but kwa leo namuonea huruma sana japo hahitaji huruma yangu but me ni mzazi pia na nimezaliwa
pia nimeishi na jamii tusidharau wazazi hasa mama kitendo cha kubeba mimba 9months na kukuzaa pekee mshukuru ht km alikutelekeza kukuzaa inatosha
yule dada hana faraja na nyie fans wake hebu muambieni arudi kwa mama zake ht kufagilia makaburi tu then aone
am sory kwa gazeti ila namhurumia sana
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umeongea vizuri sana,Mange this should be your waking up call-watu wamechoshwa na unyanyasaji wako,soon yatakurudia haya,usipojirekebisha soon,and very soon....yatakurudia...mimi mwenyewe ni mgomvi ila wewe umezidi khaaa
 
Mkuu umeongea vizuri sana,Mange this should be your waking up call-watu wamechoshwa na unyanyasaji wako,soon yatakurudia haya,usipojirekebisha soon,and very soon....yatakurudia...mimi mwenyewe ni mgomvi ila wewe umezidi khaaa

hahahahaaaaaaaa
eti ye kazidi daaah
 
Mkuu umeongea vizuri sana,Mange this should be your waking up call-watu wamechoshwa na unyanyasaji wako,soon yatakurudia haya,usipojirekebisha soon,and very soon....yatakurudia...mimi mwenyewe ni mgomvi ila wewe umezidi khaaa

That's it!Sie wanawake kwa kawaida ni wagomvi,hata mie mtata,ila simfikii Mange hata asilimia zero!Yeye ni mtu ambaye hawezi kutorolate sababu yeyote kuvunja urafiki na kuzusha ugomvi!Afu anakimbilia kwenye blog yake,ameitumia kama silaha ya kuwaumiza wabaya wake,ndio ni yake,ana haju ya kuandika lolote ila its too much!yani kila mtakayekwazana naye umuweke kwenye blog yako?angejua wale fans wana enjoy tu
 
Uwiiiiii,hizi habari sina jamani.Ngoja nikatafute,nina muda sana sijaenda huko.Ila sijui nitaanzia wapi hadi nivione hivo vichambo vyangu.

Hhhhhhhaaa ulichambwa we na matola,,,na huyo huyo ndie alietuchamba mie na geniveros nilicheka sana itabidi usome post za nyuma kidogo
 

sure wana enjoy mno ila wakitoka pale wanamcheka pembeni
 
Ni kwa kuwa last time Mange alisema hakuna anayemuweza kwenye yale mambo,kipindi kile cha Mbuta alipomwita Koku baboon.Looking at their Lives and history Mange ni super convict wa ugomvi!

Wamemchokoza kabisa mi hua sikapendi ka mange ila this time namtetea wamemuanza kabisaa,kamchamba hadi kaka yake Linda yule Richard hhhhhaaaaa
Halaf palioneshwa kwa mange vulu vulu yaan hovyoo hapajapangiliwa nguo kila sehemu sio kasafi muda mwingi kanaandika magazeti hhhhhhhhhaaaaaaaaa
 

hahasaaaaaa pachafuuu
 

Sisi wanawake kukosana ni jadi lakin kwa idadi ya Mange ni kiboko mim nishakosana na watu wawili na nishaepuka kua na makund ya marafiki tukikutana tunasalimiana kila mtu kivyakee
Jaman tuepukane ugomvi hua ni kama mikosi hiviii na kuepuka ni kua kivyako vyako kua na rafik mmoja na usimuelezee mambo yako ya ndanii,,,wengine marafiki wawe wa mbali wa kuchat whatsapp basi
Ila hawa kina mange na hao wenzie wote vichaa tu ,hawaishi kuchokozanaa sijui kuna siri ipi kati yaooo
 

Sisi wanawake kukosana ni jadi lakin kwa idadi ya Mange ni kiboko mim nishakosana na watu wawili na nishaepuka kua na makund ya marafiki tukikutana tunasalimiana kila mtu kivyakee
Jaman tuepukane ugomvi hua ni kama mikosi hiviii na kuepuka ni kua kivyako vyako kua na rafiki
 

Wanasema wanamuonea wivu anamaisha mazuri. Lol
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…