Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Amenichosha huyo Mange.. mara ya kwanza sijaweza kusoma gazeti naona ni non sense tu.... utatukana kila mtu anaekuchukia utaweza...

Ujinga mtupu.
Yeye na mbutananga anayemsema hawana tofauti inabidi wamnyang'anye leseni yake ya udereva.
 
Mataahira wote watatu..

Word ! hapo nakubaliana na wewe 100per cent ! lakisi sio kumuattack Mange pekeyake wakati hata hao anaojibizana nao ni Matahaira hawana yao ya kufanya kutwaa MangeMangeMange , Wameshamjua chizi si Wamuache !Nyumba ya Wakwe zake Mange inahu ??

Mange ni top taahira siwez kuwaweka fungu moja coz yeye kagombana na wengi zaidi ambao hawajaweza kumjibu!By the way wanatufanya tuenjoy na popcorn mkononi...I don't have to pick sides...
 
Kuna mwisho mbaya sana soon kwa yule muke ya muzungu kwa jinsi alivyowadhalilisha na kuwasononesha watu wengi kiasi hicho.iko siku atajutia kila sentesi aliyoandika mtandaoni.And yes wale mashabiki wake "anonymous"watakua wa kwanza kumcheka.
 
Hii inaitwa operation safisha IG…Mbwa koko zoote zinazojifanya zinajua kutukana watoto za watu IG mnalo…..
PS: PLEASE DONT JUGDE ME… RIGHT NOW NNA TEMPORARY INSANITY…ILA NIKISHATUKANA HIZI TAKATAKA AKILI ZANGU ZITATULIA ALAFU AMANI ITAENDELEA KAMA ZAMANI…by Mange,amekiri kuwa she is INSANE!
 
Naomba niulize,huyo Viola alimtusi mtoto wa Mange?alimtusi mume wa Mange?Mbona kumchamba mwenzie kuwa malaya wa Jollie anlalwa na watoto wake??Mange una roho mbayaaaa!!Una wivuuuu!Unamsema hadi mume wa mwenzio alikuwepo IG!mbona katika post zote za viola hajaonyesha wapi alimtaja mtoto au mume wa Mange!!Jamani next ni mrs King Kong ndo nani?sijui miiiie!
 
Nyie mnaomtetea Mange,mnasema anaonewa na nyie ni wanawake mpo Ig mmeshawahi kumcriticize mtu pengine hata kumdiss,mnambie mnaona ni sawa kila mlomdiss angekuwa anaandaa makala maalumu ya kukufedhehesha?anamwita viola mzee,eti malaya mara analalwa na watoto wake!Mara anaanika picha za mme wa viola na anamwita akasome!!Ninalaani tabia ya kichawi ya Mange!!Kweli amepandwa na kichaa sio bure!!atawamaliza wote waliomdiss ataweza!!Anasema viola mbaya kamtusi matusi yoteee kweli hii ni sahihi!Akimaliza atakuja kutufungulia waraka sisi wait and see poor her!! geniveros queenkami Heaven on Earth nifah
 
Last edited by a moderator:
Jamani huyu baba mie namtakaaaaaaaaaaaaa contacts zake kwanza lazma nimpelekee miss mmoja atupe nje huyu malaya mzee asiejielewa
huyu baba na kitambi chake cha chini chini anaitwa nani jamani???? Jamani,huyu Mange mwehu kabisa!Unaweza ukasema mwanamke mwenzio atakufa kwa kupush?
 
Nyie watoto mfanyeni mama yenu vizuri ngenye zikipungua ataacha ungese wa kutukana watu asiowajua IG….duuuu!
 
Nyie watoto mfanyeni mama yenu vizuri ngenye zikipungua ataacha ungese wa kutukana watu asiowajua IG….duuuu!

Yani roho imeniuma Mange alivyomtukana yule mama, halafu kwenye liblog lake anajicommentia mwenyewe....

Ataishia pabaya kama baba yake........hajifunzi
 
Yani roho imeniuma Mange alivyomtukana yule mama, halafu kwenye liblog lake anajicommentia mwenyewe....

Ataishia pabaya kama baba yake........hajifunzi

Kim nana,nimesikitika sana!tena hajaweka post ambayo viola alimtusi mtoto wa mange au mange moja kwa moja ila alishabikia tu!,nadhani hakujua Mange ana utindio wa ubongo maskini!!Kasema atawachamba wote walio tag wenzao!!Jamnai!!kuna mahali anawaita watoto wa viola future malaya!ooh mara atakufa labour ooh mara atakoma kumjua malaya wa jolly!!Realy!amempekunyua kila angle na kumtukana seems alikua amedhamiria apekenyue amtukane tuuu!!La nimeshangaa kama kichaa chake kimefika mbali!sasa anasema watoto wale wakamlale mama yao!!Abomination!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mwisho mbaya sana soon kwa yule muke ya muzungu kwa jinsi alivyowadhalilisha na kuwasononesha watu wengi kiasi hicho.iko siku atajutia kila sentesi aliyoandika mtandaoni.And yes wale mashabiki wake "anonymous"watakua wa kwanza kumcheka.

Yaani Kweli mdau hv ikitokea maisha yakamkalia vibaya anafanyaje? Na kwanini hawadhalilishe wanawake wenzie vile? Nimeanza kuwachukia wadada wa pisces nina wifi yangu nae ni pisces Ana roho mbaya ila sio vizuri kugeneralize watu ila huyu dada ni funga Kazi!!
 
Kama sio roho mbaya ni nini?yeye angekazana na huyo adui wake Linda na Flora!sasa kila alotag anashambuliwa!!Nambie kumu involve mume wa mwenzio,watoto na mali zake na maisha yake yoteee uyatoe kasoro kisa alilike!roho mbaya tu hao anaowaita vizee vya ig wamemshinda kila eneo la maisha!Anasema wenzie wakisali na kutoa sadaka mashetani!je yeye alojifanya kwenda kwa orphans na anachofanya saa izi kina husu!!Mungu sio wake peke yake wala sio wa kuingizwa kwenye ujinga wake!!
 
Naomba niulize,huyo Viola alimtusi mtoto wa Mange?alimtusi mume wa Mange?Mbona kumchamba mwenzie kuwa malaya wa Jollie anlalwa na watoto wake??Mange una roho mbayaaaa!!Una wivuuuu!Unamsema hadi mume wa mwenzio alikuwepo IG!mbona katika post zote za viola hajaonyesha wapi alimtaja mtoto au mume wa Mange!!Jamani next ni mrs King Kong ndo nani?sijui miiiie!

Amesema anachamba wotee hhhhhaaaaaa,,,anajitetea sebuleni kwa wake zake jaman ndio pabaya hivyoo halaf anaiponda sebule ya viola wakati ya viola ni nzuri kweliiii
 
Yani roho imeniuma Mange alivyomtukana yule mama, halafu kwenye liblog lake anajicommentia mwenyewe....

Ataishia pabaya kama baba yake........hajifunzi

Ila mange ni taahira jamanii Natalia msaidieni mtz mwenzenu dawaa, ,sio mzima Mange
 
Last edited by a moderator:
Hiyo picha ya nyumbani kwake iko wapi manake bidada hapigi picha kwake hata siku moja..na akipiga yani anahakikisha haoneshi mandhari yote

Ukipaona utachokaaaa Halaf pachafu, ,,yako wapi linda kaweka paspot yakee na hapo sijui atataka ninii,,wanaompaga umbea wanampa ya uongoo
 
Kuna mtu humu alisema mange soon atagombana na mtu nyie ngojeni tu, kweli hakukosea huyu dada Si mzima kwa kweli. Kunacku Kwenye blog yake alikuwa akiwasema wauza unga na akaja bongo akakaa week moja, aliporudi huko akaendeleza post zake na kusema bongo tena labda Baada ya miaka kumi sasa wacha aendelee kuwachamba vizuri, nilicomment Kwenye hiyo post nikamwambia dunia sasa hivi sio kijiji tena ni mtaa, Angalia hawa unaowasema ipo cku watakufanyizia huko huko uliko usicheze na watu wa hii biashara wanamtandao mkubwa mno, tena huko maulaya kuua mtu ni issue ndogo sana, hakuitoa ile comment akaibania. Sikuwa namuombea mabaya nilikuwa najaribu kumrudisha Kwenye mstari lakini bibi yule haambiliki ni type ya wale watu wa akina i know too much.
 
Yani roho imeniuma Mange alivyomtukana yule mama, halafu kwenye liblog lake anajicommentia mwenyewe....

Ataishia pabaya kama baba yake........hajifunzi

Kim nana, asiyefunzwa na mamaye ufunzwa na ulimwengu, soon ulimwengu utamfunza. Yeye alitaka mashauzi ya kujionyesha akubali na kukosolewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom