Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Hafu mie nahisi Mange anajiandikia macomments kny blog yake.....Mange unamsema mbuta ana kichaa,tunaokuangalia....you are on breaking point...mamii kamuone shrink kabla mambo hayajawa mabaya zaidi-una watoto wewe,they need to be safe......
 
Linda kaweka passport Mange kakosa la kusema anamwingiza Mali na mzee wake!kaishiwa hoja kwa kweli!!Anakazana kumsema leyla mbumbumbu anatukana mamba kabla hajavuka mto,atashangaa kenzo anakuwa bwabwa atalia na mola!Mange najua anaandaa gazeti la jf special for us!nalingoja aisee
 
Mnaopita uko kwenye viblog uchwara mwambieni Mange aje hapa yeye mwenyewe tumfunze adabu, sisi wengine hatuingii kwenye hizo blog.
 
Before nilijua Jamii forum ni kwa wasomi wenye kuongea facts, badala yake ni watu wanafiki, wenye chuki, mahasidi na waongo. Yani mmemuandikia Mange thread ya chuki, mnacomment kwa jazda na chuki za wazi. Nyie wanawake acheni chuki. Sasa km hivi mmavyomtukana akiwajibu, yy mgomvi au hiyo miyo ya ubinadamu mnayo nyinyi yy hana.
mnamchokinoa kila kukicha. Nyinyi mkikosoa watu mpo sawa na kiblog chenu cka unafki mnaojificha na fake ids, yy akiongea the same issue ooh Mange kaanza.
Mnamuogopa Mungu nyinyi watu, malipo hapa hapa duniani
 
Mnaopita uko kwenye viblog uchwara mwambieni Mange aje hapa yeye mwenyewe tumfunze adabu, sisi wengine hatuingii kwenye hizo blog.

Hiyo passport ina current visa au just a passport, mwambie aonyeshe
 
Mnaopita uko kwenye viblog uchwara mwambieni Mange aje hapa yeye mwenyewe tumfunze adabu, sisi wengine hatuingii kwenye hizo blog.

Haha ha ha ha, mwanamke una roho mbaya km kunguni.
umfunze adabu unamjua, yani umekalia umbea tuu twenty four seven upo jamii forum, I wonder huna social life. Ww ndio upo depressed una need help
 
umewaonaeeh full wanafiki hao wengine wakimtukana hawawasemi ila mange akijibu yeye mbaya kama uyo mama sijui viola unaingiliaje mambo yawatu kweli alafu alivyomtu mzima na watoto over 20 kweli sasa ona alivyopata aibu ya mwaka mpaka acc.kaifuta
 
Haha ha ha ha, mwanamke una roho mbaya km kunguni.
umfunze adabu unamjua, yani umekalia umbea tuu twenty four seven upo jamii forum, I wonder huna social life. Ww ndio upo depressed una need help
Sijui adabu gani atakayomfunza mtu hata kumjua hamjui au ndio matusi eeeeheeee yuko so depressed kutukana nyuma ya jina fake
 
Nyie wabongo mnajua mana ya really passport.
Watu kibao wana forge passport, na kwa vile serikali ya kibongo haifuatilii tofauti na nchi nyingine. Ikienda balozi yoyotebya kibongo nchi yoyote ukiomba passport hata km sio raia ili mradi ukiwapa kitu kodogo unapata passport.

Na kinacho matter sio passport, kinacho matter ni visa. Je huyo Linda ana current cisa? Anatuhusiwa kufanya kazi?

Unaweza ukawa na visa na kazi ukawa huruhusiwi kufanya.

Nyinyi mpo bongo na ushabiki maandazi mkiambiwa kitu hata hamjui how it works, mmeshavakia njuga yani mnatia aibu. Hanuwezi ht ku google mpate information kabla hamjaanza ku publish mpunguze umburula wa kushinda jamii forum
 
Koku umekuja!?hapa hatumchukii!!Infact tunalaani anachofanya yeye na kina Linda!
 
Tunatia aibu tumenyea kwenye unga??nani anatia aibu zaidi yetu na Mange mwenye roho ya kutu na mbaya!!Maisha ya Linda yanamuuma sana akamchome,akipatwa mabaya mwenzie ndio furaha yake!!
 
Hafu mie nahisi Mange anajiandikia macomments kny blog yake.....Mange unamsema mbuta ana kichaa,tunaokuangalia....you are on breaking point...mamii kamuone shrink kabla mambo hayajawa mabaya zaidi-una watoto wewe,they need to be safe......

Wals hajiandikii kwani hujui kutumia IP address uangalie. Ana decent followers sio km Nyinyi wanafiki wazandiki
 
Tunatia aibu tumenyea kwenye unga??nani anatia aibu zaidi yetu na Mange mwenye roho ya kutu na mbaya!!Maisha ya Linda yanamuuma sana akamchome,akipatwa mabaya mwenzie ndio furaha yake!!

Nani kamuanza mwenzie btn them, just be honest you a little sword
 
Anawasoma mbonaaaa
Nimeshamuona tayari kama si yeye ni kibaraka wake.
Ni kweli malipo ni hapa hapa duniani ona sasa uchizi umekupanda.
Hiyo passport ina current visa au just a passport, mwambie aonyeshe
Sisi hatuna shida ya passport is non of our business.
Haha ha ha ha, mwanamke una roho mbaya km kunguni.
umfunze adabu unamjua, yani umekalia umbea tuu twenty four seven upo jamii forum, I wonder huna social life. Ww ndio upo depressed una need help
Wewe una Ash majnun, mimi ni dume la mbegu na napiga mbele na nyuma kama demu anavyolia kwa Dr Ponjo.

Inaonekana leo Dr Murray anekuover dose.
Tumia your real name, acha unafki
Hujui maana ya forum punguani wewe tuliza mpapa wako.
umewaonaeeh full wanafiki hao wengine wakimtukana hawawasemi ila mange akijibu yeye mbaya kama uyo mama sijui viola unaingiliaje mambo yawatu kweli alafu alivyomtu mzima na watoto over 20 kweli sasa ona alivyopata aibu ya mwaka mpaka acc.kaifuta

Insanity, hii mental case JF hatuna uwezo wa kukusaidia.
 
Wals hajiandikii kwani hujui kutumia IP address uangalie. Ana decent followers sio km Nyinyi wanafiki wazandiki

Unalo hilo ?!CEO wako kila mtu amtafute yeye tu???mwambie akaoge maji ya baharini basi....kwa hio wewe kila aliyekuchokoza...ulipigana nae????wadada wa mjini mna mambo...ngoja nikalime mie....
 
Tunatia aibu tumenyea kwenye unga??nani anatia aibu zaidi yetu na Mange mwenye roho ya kutu na mbaya!!Maisha ya Linda yanamuuma sana akamchome,akipatwa mabaya mwenzie ndio furaha yake!!

Hhhhhhhaaaa labda tumenyea kitandaniiiii heloooo
 
Koku umekuja!?hapa hatumchukii!!Infact tunalaani anachofanya yeye na kina Linda!

Mmecremisha kila mtu ni koku. Too be honest unaonyesha how usivyo na social life.
Huyo Linda si ndio kamuanza Mange au leo umesahau. Urafiki aombe yy, matusi aanze yy akirudishiwa ooh anaonewa vitu, si majanga haya. Na wonder unaakili mgando km huyo Linda
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…