Huoni id mpyaaa humu
Mhuuuu...kumenoga nimefatilia kimya kimya popcorn zimeisha lol
Hayo ndio inayofanya jamii forum kudhalaulika cku hizi, yani unafki na hasada ndio zimewajaa. Sasa Mange akiachwa na muwewe mtajipeleka nyie muokewe???
Why mna chuki binafsi jamii forum, nyie mmetembea na wanaume/wanawake wangapi?
Yy Mange km alikuwa na mwanaume wa pembeni smekosea, na nyinyi "wasafi" mnaonyooshea wenzenu vidole mnakosea.
Hebu kula mtu aweke list ya wanawake /wansyme zake tuone km kuna msafi kati yenu, hebu muogopeni Mungu.
shosti huko ig nna rekwesti kibao nazidiss tu najua huyo ni mange na tim yake
Bora umewashtukizia
Pole Mange kama nakuona vile unavyotokwaa na povu umeyataka mwenyewe kupigana na dunia nzima
Ona Link hiyo anasema hampendiii mume wake jamani Sahv ni bora kuwa makini na hizi Email mnazoandika www//Forum.q8lots.net/t1625490.html[/QU. Haifunguki
Labda hiyo Link inashida ila Bado ipo Google www//forum.q8lots.net/t1625490.html...Haha kama uipatii umekosaa uondoo
alikolala yeye mie nshaamka zamani ye ana laana ya mama ake mi mwenzie mama angu anakufa anawaambia kina mamkubwa mwambie g na wadogo zake wasitupane na nnawapenda sana
ajiulize yeye asie na haya asiemtaka mama ake mzazi
sasa ina maana ye asifiwe tuuu mtu ukimponda anakutukana mi akintukana ntamshauri akafagilie kaburi la mama ake kwao tandika hukoo na makaburi ya bibi zake mtwaraKweli jamani radhi ya mama muhimu yaani ata Awe mtu Gani mama ni mama Tu!!!!!!
Natafuta followers kwani nataka kufungua kanisa!!Nipishe huko usinitishe,unifate wapi?Ntakupeleka wapi wewe!!Tatizo roho ya chuki,mtu akidiffer na fikra zako unakimbilia kumtishia na kumtusi!kwani umeambiwa kwenye blog yake simwambii!!Ebu ntolee wehu wako hapa!!Ukweli umeujua,chuki haijengi!!Msimlishe sumu dada wa watu,yeye halali usiku kisa anapanga mashambulizi nyie mnachekelea tu!
Pole Mange kama nakuona vile unavyotokwaa na povu umeyataka mwenyewe kupigana na dunia nzima
Wanawake,maisha ya chuki na husda kisa umezidiwa kimaisha ni mabaya sana!!
sasa ina maana ye asifiwe tuuu mtu ukimponda anakutukana mi akintukana ntamshauri akafagilie kaburi la mama ake kwao tandika hukoo na makaburi ya bibi zake mtwara
asijishaue mpare mpare mpare wapiii yule wapare hawanaga akili km za yule mwehu
mange mi nataka aweke picha za mama ake kwanza mwehu
hahaaaaa mama aliolewa yule na mzee kimambi?si muislam yule?Kwani mtu anafuata kabila ya mama au baba
Ww si umezaliwa na mama pia. Kwanini usiweke ya mama tako dunia imjue.
Kumbe unajijua cheo chako