Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
mtu huyu ana laana ya mama ake mzazi tunajisumbua bure na hatokua na furaha maisha yake@zels hebu tupia bas picha ya mama mange kule u turn pliiiizzsss
 
Hayo ndio inayofanya jamii forum kudhalaulika cku hizi, yani unafki na hasada ndio zimewajaa. Sasa Mange akiachwa na muwewe mtajipeleka nyie muokewe???
Why mna chuki binafsi jamii forum, nyie mmetembea na wanaume/wanawake wangapi?
Yy Mange km alikuwa na mwanaume wa pembeni smekosea, na nyinyi "wasafi" mnaonyooshea wenzenu vidole mnakosea.
Hebu kula mtu aweke list ya wanawake /wansyme zake tuone km kuna msafi kati yenu, hebu muogopeni Mungu.

Pole Mange kama nakuona vile unavyotokwaa na povu umeyataka mwenyewe kupigana na dunia nzima
 
alikolala yeye mie nshaamka zamani ye ana laana ya mama ake mi mwenzie mama angu anakufa anawaambia kina mamkubwa mwambie g na wadogo zake wasitupane na nnawapenda sana
ajiulize yeye asie na haya asiemtaka mama ake mzazi

Kweli jamani radhi ya mama muhimu yaani ata Awe mtu Gani mama ni mama Tu!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mit
Kweli jamani radhi ya mama muhimu yaani ata Awe mtu Gani mama ni mama Tu!!!!!!
sasa ina maana ye asifiwe tuuu mtu ukimponda anakutukana mi akintukana ntamshauri akafagilie kaburi la mama ake kwao tandika hukoo na makaburi ya bibi zake mtwara
asijishaue mpare mpare mpare wapiii yule wapare hawanaga akili km za yule mwehu
 
Natafuta followers kwani nataka kufungua kanisa!!Nipishe huko usinitishe,unifate wapi?Ntakupeleka wapi wewe!!Tatizo roho ya chuki,mtu akidiffer na fikra zako unakimbilia kumtishia na kumtusi!kwani umeambiwa kwenye blog yake simwambii!!Ebu ntolee wehu wako hapa!!Ukweli umeujua,chuki haijengi!!Msimlishe sumu dada wa watu,yeye halali usiku kisa anapanga mashambulizi nyie mnachekelea tu!

Division 5 utawajya tuu.
Maswali na majibu hayafani, lol
 
sasa ina maana ye asifiwe tuuu mtu ukimponda anakutukana mi akintukana ntamshauri akafagilie kaburi la mama ake kwao tandika hukoo na makaburi ya bibi zake mtwara
asijishaue mpare mpare mpare wapiii yule wapare hawanaga akili km za yule mwehu

Kwani mtu anafuata kabila ya mama au baba
 
Kumbe unajijua cheo chako

Wewe mwenyewe mental case kama CEO wako!!umekuja kutishia kujamba akati unaharisha,mara division five mara wivu mara husda unaweweseka tu!!Mkizidiwa kimaisha mnafanya vita!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom