Kuna mtu anajijibu mwenyeweee hhhhhhhaaaaaaa dawa imeanza kuingiaaaa cc Matola
Kuna wanaume wana busara sana,huyo adui mmoja kapungua atazalisha wengine mia!!!hapa alopiga picha ni baba mzazi au wa kufikia?This whole thing is sad....atleast leo nimeona insragram there is light at the end of the tunnel. Shikamoo baba Bhone naona kapiga picha na mbutananga..na mbutananga kasema hamna tena kumtukana Bhoke. Thats how grown up solve issues. Mange should learn a thing or two from baba Bhoke yani nimemvulia kofia yale mapicha ya Bhoke aliyotundika Mbutananga kayadisregard kapiga nae picha and looks like..fingers cross it might work if mbuta will stop talking about Bhoke.
This whole thing is sad....atleast leo nimeona insragram there is light at the end of the tunnel. Shikamoo baba Bhone naona kapiga picha na mbutananga..na mbutananga kasema hamna tena kumtukana Bhoke. Thats how grown up solve issues. Mange should learn a thing or two from baba Bhoke yani nimemvulia kofia yale mapicha ya Bhoke aliyotundika Mbutananga kayadisregard kapiga nae picha and looks like..fingers cross it might work if mbuta will stop talking about Bhoke.
Hahaha mkuu ile picha ni ya siku nyingi....anyway wagombanao ndio wapatanao...
hahaaaaa mama aliolewa yule na mzee kimambi?si muislam yule?
bas jibu analo mie nataka picha za tbt na ndugu wa mama ake na mama ake pia kabla ya mengine
Kuna wanaume wana busara sana,huyo adui mmoja kapungua atazalisha wengine mia!!!hapa alopiga picha ni baba mzazi au wa kufikia?
hahaaaaaahaaa aje hapa atuambie kuhusu mama ake kwanza mengine yatafuata?Na wewe umekuwa kama Dr Murray unawaoverdose wagonjwa ona sasa mgonjwa wetu anavyoweweseka.
Kweli kabisa mdau!watoto na waume zao hawahusiki!nlijisikia uchungu sana alivomwambia flora tasa!Mungu ndio mpaji!anamnanga hajaolewa ndoa ni muhimu ila sio lazima!!Baba mzazi na aliemlea toka Bhoke yuko mdogo...ila kumbe ni picha ya zamani. Mbuta kaiweka leo...ila kasema ataacha kumtukana mtoto wa watu. Its tasteless wanavotukana watoto wooote its not right watoto wa viola, leyla wa linda, bhoke etc...just not right
Kumbe ya siku nyingi..mweee manake macho yamenitoka nikasema heeee kapiga picha na mbuta baada ya ugomvi wote nikaona kijana shujaa aisee
Baba mzazi na aliemlea toka Bhoke yuko mdogo...ila kumbe ni picha ya zamani. Mbuta kaiweka leo...ila kasema ataacha kumtukana mtoto wa watu. Its tasteless wanavotukana watoto wooote its not right watoto wa viola, leyla wa linda, bhoke etc...just not right
Kuna wanaume wana busara sana,huyo adui mmoja kapungua atazalisha wengine mia!!!hapa alopiga picha ni baba mzazi au wa kufikia?
Mbuta hua ananivunja mbavu sanaaaa,abaki miaka miaaaaa