Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
This whole thing is sad....atleast leo nimeona insragram there is light at the end of the tunnel. Shikamoo baba Bhone naona kapiga picha na mbutananga..na mbutananga kasema hamna tena kumtukana Bhoke. Thats how grown up solve issues. Mange should learn a thing or two from baba Bhoke yani nimemvulia kofia yale mapicha ya Bhoke aliyotundika Mbutananga kayadisregard kapiga nae picha and looks like..fingers cross it might work if mbuta will stop talking about Bhoke.
 
Kuna wanaume wana busara sana,huyo adui mmoja kapungua atazalisha wengine mia!!!hapa alopiga picha ni baba mzazi au wa kufikia?
 
Hahaha mkuu ile picha ni ya siku nyingi....anyway wagombanao ndio wapatanao...
 
Kumbe ya siku nyingi..mweee manake macho yamenitoka nikasema heeee kapiga picha na mbuta baada ya ugomvi wote nikaona kijana shujaa aisee
 
Kuna wanaume wana busara sana,huyo adui mmoja kapungua atazalisha wengine mia!!!hapa alopiga picha ni baba mzazi au wa kufikia?

Baba mzazi na aliemlea toka Bhoke yuko mdogo...ila kumbe ni picha ya zamani. Mbuta kaiweka leo...ila kasema ataacha kumtukana mtoto wa watu. Its tasteless wanavotukana watoto wooote its not right watoto wa viola, leyla wa linda, bhoke etc...just not right
 
Kweli kabisa mdau!watoto na waume zao hawahusiki!nlijisikia uchungu sana alivomwambia flora tasa!Mungu ndio mpaji!anamnanga hajaolewa ndoa ni muhimu ila sio lazima!!
 
Kumbe ya siku nyingi..mweee manake macho yamenitoka nikasema heeee kapiga picha na mbuta baada ya ugomvi wote nikaona kijana shujaa aisee

Ni ya siku nyingi mkuu,...baba bhoke alikuwa anafanya party zake uk na bongo,(anaorganize)...sometimes watu wanavaa all black,and sometimes wanavaa all white,sasa hio ilikuwa all black,mbuta akapiga naye picha......km ulikuwa friends na mbuta facebook,alishawahi kuiweka.....
 
Baba mzazi na aliemlea toka Bhoke yuko mdogo...ila kumbe ni picha ya zamani. Mbuta kaiweka leo...ila kasema ataacha kumtukana mtoto wa watu. Its tasteless wanavotukana watoto wooote its not right watoto wa viola, leyla wa linda, bhoke etc...just not right

yani alivyomtukana viola leo ndo nimeamini kuna laana ya mzazi hasa mama
yule ana laana ya mama ake tukubali tukatae
 
  • Thanks
Reactions: Mit
FLORA%2BLYIMO%2BBIRTHDAY%2BSEXY%2BPHOTOS%2B2014%2B050.JPG
 
Mbuta hua ananivunja mbavu sanaaaa,abaki miaka miaaaaa
 
dedication kwa mange
christian bela na ommy dimpoz mama
isha mashauzi mama ni mama
mzee yusuf chozi la mama
najivunia mama angu mieeeeeeee
mama mtamu jamani woyoooooo
mama ananogaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: Mit
Mbuta nanga ni shiiiida...kiburudisho changu huwa nacheka tuu vituko vyake
 
Mange ana roho mbaya sana, sura yake imesadifu roho yake...yani Leo nimezidi kumchukia kumchamba yule mama wa watu...

Halafu huyo Alberto ndo huyu Alberto Msando au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom