Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Natamani kumjua huyo Alb yaani.halafu mbona Aibu hatia toka kumbe watu washakula kizamvu cha Kopo?ndoo maana amedata hawezi kurudi Hali yake ya za mani.


Dina Alb Au ndo Huyu anayewatetea wasanii maanake na yeye si kaoa?






Anasema aliumizwa aliliwa tigo etii,,halaf huyo Al ni naniiii???yaan anachepuka huku kaolewaaaa
 

hamtaki mama ake na ndgu wa mama ake na kwa mama tandika japo amekufa au ht km alimkosea ndo anashindwa ht kumsamehe mi nimemdharau hapo tu asitegemee amani ktk maisha yake
 
Reactions: Mit
Natamani kumjua huyo Alb yaani.halafu mbona Aibu hatia toka kumbe watu washakula kizamvu cha Kopo?ndoo maana amedata hawezi kurudi Hali yake ya za mani.


Dina Alb Au ndo Huyu anayewatetea wasanii maanake na yeye si kaoa?

Albert rwehumbiza google
 
Hahahaaa inaonekana alipigwa katerero hadi kasahau ndoaa, eti best sex ever.....heheheeeee

One million dollars question, leo ndio nimejiradhimisha kufunguwa hiyo blog ya U-turn bado najiuliza sana Mange yuko Marekani haya yote yawe ya ukweli na uongo huwa anayajulia wapi?

Pili nimegunduwa huyu mwanamke ana kipaji ambacho yeye ameamuwa kukitumia vingine maana kama ni uandishi wa majungu, umbea na black mail others huyu hana mpinzani.

Bado kuna kitu nashindwa kuelewa na tiba pekee kwa Mange ni kupelekwa kwa watu wa saikolojia atapona, tangu nimetembelea blog yake leo naweza kubadili mtazamo wangu, Mange tumsaidie hili naongea kutoka moyoni mwangu kabisa.

Kuhusu Albert inaonekana pale Atlanta mambo yake super siyo diesel kwahiyo amkamreward bufee ili ajisevie apate pesa za jamaa.
 

Haaa!kumbe nayeye alikuwa anagegedwa akiwa kwa mmewe!naona saa izi dolari zimemfanya apende kikweli kweli kweli yeye steringi kwa mmeo wa ndo miezi miwili bila game!!kweli mzungu alipendaaaa!!
 
Last edited by a moderator:

She is insane....ila Linda ndo kiboko yake. Anamsuta, anaweka Documents yani Mange amebaki kaumbuka.
Kipaji cha uongo anacho
 
Haaa!kumbe nayeye alikuwa anagegedwa akiwa kwa mmewe!naona saa izi dolari zimemfanya apende kikweli kweli kweli yeye steringi kwa mmeo wa ndo miezi miwili bila game!!kweli mzungu alipendaaaa!!

Shoga angu wee, mimeisaka hadi nimekuwekea hiyo email, utanisamehe haina space....LA muhimu umbea ufike...
 
Hebu tufanye research ya Hugo Al...mie nahisi Albert Msadooo...heheheee umbea kazi, we unahisi nani?

ugh, everything happens for a
reason.....I'm sure there's a reason why I met
while we were both married......lol.... And
there's a reason why that last day we Saw each
other we has the best sex we ever had..... Like
nimefika Miami tu nkakuta ****, that was the
best sex of my life. Hehehehhe .... It was the
best for me too..... There's a reason maybe so
we can have something to remember each
other by.... Lol....
Ila that dude. I will never speak to again......
Sio utani. Chief kaniumiza mnoooo.
Nimemchukia balaaaaaa. Kwi kwi kwi MCHEPUKO NOMER...!!
 
Kweli kabisa mdau!watoto na waume zao hawahusiki!nlijisikia uchungu sana alivomwambia flora tasa!Mungu ndio mpaji!anamnanga hajaolewa ndoa ni muhimu ila sio lazima!!
Mdau Umeona eeeh, mungu SIO mjomba wa mtu utamtukanaje mwenzio tasa? Wewe mwenye watoto unaweza pata balaa la ajabu na ukashangaa miujiza ya mungu. Nina mfano hai wa mama yangu mdogo alikuwa akimtukana wifi yake tasa kwa kua hana watoto na yeye alikuwa na watoto watano. Hao watoto ni wakubwa, siku moja wakiwa safarini baba na watoto wakapata ajali watoto wote walikufa hapo hapo kasolo baba tu, Sasa hivi yeye na wifi yake wote hali moja na utuuzima alionao sasa hawezi Kuzaa anabaki kulia tu kila siku na ulokole juu.
 
Yeye si bingwa wa kuwaanika wenzake, na yeye kaanikwa... hahaaa hata siamini kama Mwamvita ndo alimwanika hivi, mtoto mpole yuleee...naona aliyacharua mashetani ya kisambaaa, ndo yakamchezea huu mdumange.....

...That rich dude from washington!...kumbe ndio maana zile tips za kukamatia ng'ombe alionona anazitumia,ameolewa bado ananyatia mabwana wenye pesa,ndio maana hapatani na chaga barbie!Kuitwa kuita wenzie Malaya!kumbe yeye ni proffession!!
 
Mama yake mzazi alifariki mange akiwa mtu mzima anajitambua, tena alikuwa Dubai huko Kwenye seke seke la uchangu na kazi. Kwahiyo Picha za mama yake atakuwa nazo tu kwani yeye ndio mkubwa kwa upande wa mama yake na anawadogo zako huko, hata siku moja aliweka Kwenye blog yake issue ya kumsaidi Mdogo wake upande wa mama yake alimlipia school fee moja tu lakini hajawahi weka Picha za wadogo zake upande wa mama wala marehemu mama yake kutwa kumwita Dr, Mwelewa Malecera mama kisa alikuwa hawala ya marehemu baba yake na kwakua mange hapatani na mama yake aliyemlea mama kimambi mjane wa baba yake ndio maana akija bongo anafikiaga upanga kwa Mwele Mbezi malufuku. Kunawakati Mamakimambi alisafiri ndio alienda hapo akapiga mipicha mpaka chumbani eti hapa ndipo nilipokua nalala na kuweka Kwenye blog yake. Huyo Dr. Mwele mwenyewe keshamchoka basi tu bibie king'anganizi, Kwenye kitchen party yake waligombana mpaka Mwele akawa anaondoka ndio watu kumbembeleza, hatakagi ndugu wachovu yule anataka matawi ndio shida yake mange usimdhalau mama hata akiwaje mama ni mama.
 
Reactions: Mit
Jamani mtupiemo na caption za kina Linda...
 
...That rich dude from washington!...kumbe ndio maana zile tips za kukamatia ng'ombe alionona anazitumia,ameolewa bado ananyatia mabwana wenye pesa,ndio maana hapatani na chaga barbie!Kuitwa kuita wenzie Malaya!kumbe yeye ni proffession!!
Kwa mzungu naona hela kidogo imekuwa ya manati ndio maana anaweweseka na michepuko, hivi mpaka leo hii umeolewa na mume asikuweke Kwenye joint account yake tena mume Mwenyewe mzungu why? Akiendaga mashoping huko eti leo baba kenzo kanipa card yake nitumie special treatment uwii hapo ndipo napochoka mie, nafikiri mzungu keshamsoma anapenda makubwa asipoangalia pesa yote itaisha Kwenye show off za kijinga alafu watoto walale na njaa chezeiya mzungu wewe anaona mbali.
 
Nimeliona hili jina udaku special pia wameweka picha ya demu wa lance mme wake mange et ni mchepuko

Haaaa!!Kumbe yeye anavoweka number za wanaume wa wenzie anawatafutia mabinti mabwana!!akasema kabisa eti atamstua miss mmoja amshuhurikie mume wa viol...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…