binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
yani anataka kila mtu amsifie makubwaaa
Hahahaaa mange hana mwenzie aisee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani anataka kila mtu amsifie makubwaaa
hahahaha et chupa ya chai ya pink ya kariakoo lol huyo mume wake huyo dada akizipata habari sijui itakuwaje nahisi viola atakua ICU watu watakuwa waoga kujiachia instaa maana anyday unaweza kuchambuliwa

mi namchamba nachangia vizuri anichambe tu siogopii ht kidogoo kwanza km anaona sifa ndo anazidi kudharaulika uzuri najiamini %na roho mbaya yake mfano yule alomchamba leo angejua asingejitoa fahamu ht kidogo
nimepitwa naomba hiyo id ya mbutananga huko insta pls
Hivi Vodacom bado wanasponsor haya matusi mpaka leo?
Nimesikia ana block IP addresses za watu wanaompa ukweli juu ya tabia yake ili wasiingie tena kwa blog yake.
Kweli hana ubavu wa nguvu ndio maana anatukana kila mtu.
Ila duh sielewi watu ku comment kwa instagran kwa mawazo yao inaingiaje na yeye kuanza kuwarusha online. Lazima ana fake accounts hata hamsini.
Mtu wa karibu yake anahitaji kuongea nae wayamalize haya mambo.
Ila Vodacom mwisho nao ni sponsor wa matusi na kudhalilisha watu. Duh
mange sio mtu na tuangaliage na majina ya kuwapa watoto wetu jamani ohooooMi nimeshangaa jamani yanawezekanaje mambo haya! Watu wana roho ngumu ati!
Umeona eeeh, anafikiri kuweka contact za waume za watu ni kuwakomoa yeleuwii akutanane na mume kama wangu full jeuri na hana time ya maujinga atamdharauje sasa.
mi namchamba nachangia vizuri anichambe tu siogopii ht kidogoo kwanza km anaona sifa ndo anazidi kudharaulika uzuri najiamini %na roho mbaya yake mfano yule alomchamba leo angejua asingejitoa fahamu ht kidogo
mi namchamba nachangia vizuri anichambe tu siogopii ht kidogoo kwanza km anaona sifa ndo anazidi kudharaulika uzuri najiamini %na roho mbaya yake mfano yule alomchamba leo angejua asingejitoa fahamu ht kidogo
hao voda nao wehu km mange mwenyewe tu siku sote hizo na mkataba ukiisha naona atazidi kuwehuka
yule dada ni chiziii
mange sio mtu na tuangaliage na majina ya kuwapa watoto wetu jamani ohoooo
hahaaaaa mama aliolewa yule na mzee kimambi?si muislam yule?
bas jibu analo mie nataka picha za tbt na ndugu wa mama ake na mama ake pia kabla ya mengine