Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Nimesikia ana block IP addresses za watu wanaompa ukweli juu ya tabia yake ili wasiingie tena kwa blog yake.

Kweli hana ubavu wa nguvu ndio maana anatukana kila mtu.

Ila duh sielewi watu ku comment kwa instagran kwa mawazo yao inaingiaje na yeye kuanza kuwarusha online. Lazima ana fake accounts hata hamsini.

Mtu wa karibu yake anahitaji kuongea nae wayamalize haya mambo.

Ila Vodacom mwisho nao ni sponsor wa matusi na kudhalilisha watu. Duh
 
hahahaha et chupa ya chai ya pink ya kariakoo lol huyo mume wake huyo dada akizipata habari sijui itakuwaje nahisi viola atakua ICU watu watakuwa waoga kujiachia instaa maana anyday unaweza kuchambuliwa

Mi nimeshangaa jamani yanawezekanaje mambo haya! Watu wana roho ngumu ati!
 
mi namchamba nachangia vizuri anichambe tu siogopii ht kidogoo kwanza km anaona sifa ndo anazidi kudharaulika uzuri najiamini %na roho mbaya yake mfano yule alomchamba leo angejua asingejitoa fahamu ht kidogo
 
Unanichekesha ujue...ukimchamba usikubali follow request yoyotee....
 
Nimesikia ana block IP addresses za watu wanaompa ukweli juu ya tabia yake ili wasiingie tena kwa blog yake.

Kweli hana ubavu wa nguvu ndio maana anatukana kila mtu.

Ila duh sielewi watu ku comment kwa instagran kwa mawazo yao inaingiaje na yeye kuanza kuwarusha online. Lazima ana fake accounts hata hamsini.

Mtu wa karibu yake anahitaji kuongea nae wayamalize haya mambo.

Ila Vodacom mwisho nao ni sponsor wa matusi na kudhalilisha watu. Duh

hao voda nao wehu km mange mwenyewe tu siku sote hizo na mkataba ukiisha naona atazidi kuwehuka
yule dada ni chiziii

Mi nimeshangaa jamani yanawezekanaje mambo haya! Watu wana roho ngumu ati!
mange sio mtu na tuangaliage na majina ya kuwapa watoto wetu jamani ohoooo
 
Umeona eeeh, anafikiri kuweka contact za waume za watu ni kuwakomoa yeleuwii akutanane na mume kama wangu full jeuri na hana time ya maujinga atamdharauje sasa.

Nadhani mume yeyote atamtoa mita. Imagine mtu akupigie simu uingie uturn. Unafika huko un akuta umetukanwa umeitwa gorilla. Hata kama utaona post za instagram za mkeo ukiangalia alichosema mkeo na matusi uliyoporomoshewa wewe na wanao lazima uside na mkeo
 
Ila hao waume wanaweza kufungua lawsuit ....wake zao sawa walimuanza lakini mume na mchepuko wa viola..mume wa mwanamke kujiamini dada mtu na mkwe wake wote wanaground za kumshtaki
 
mi namchamba nachangia vizuri anichambe tu siogopii ht kidogoo kwanza km anaona sifa ndo anazidi kudharaulika uzuri najiamini %na roho mbaya yake mfano yule alomchamba leo angejua asingejitoa fahamu ht kidogo

mchambe na fake account vinginevyo utadhalilishwa bure mi insta nasomaga tu mambo ya kuchambana naishi naogopaje
 
mi namchamba nachangia vizuri anichambe tu siogopii ht kidogoo kwanza km anaona sifa ndo anazidi kudharaulika uzuri najiamini %na roho mbaya yake mfano yule alomchamba leo angejua asingejitoa fahamu ht kidogo

Mie nilianza kumchamba toka last week ninarequest kama 50 ila sijakubali ata moja, tenaaaaaa hio temporary insanity wacha iwe permanent mxeeeeeeeeeeeeew na nnavyompenda Linda na mwanae sasa uwiiiiii
 
Aaahaaaa watu wanasema tu hapa wanajiamini subiri mtundikwe ndio tutaona kujiamini kwenu maana wanaingizwa mpaka wanao huko wanaocoment unakuta watu wanaokujua mpaka chumbani kwako ndio wanatoa mambo yako yote mpaka uliposoma mpaka mabwana zako wa nyuma wote watawaelezea sasa kama ulikua unamambo yako ya ajabu ajabu ulikua ukiyafanya huko nyuma kabla ya kuolewa tena ya aibu haya watu wanayashusha hapi na mi coment utajutaaa aaaahaaaa maana wanaosoma ni pamoja na ndugu zako
 
hao voda nao wehu km mange mwenyewe tu siku sote hizo na mkataba ukiisha naona atazidi kuwehuka
yule dada ni chiziii

mange sio mtu na tuangaliage na majina ya kuwapa watoto wetu jamani ohoooo

Nimeona kule U turn umechambwa wewe na Matola. Yule atakuwa Mange mwenyewe kumbe anapitaga humuu...Dawa imemwingiaa
 
Mie mbona siipati u-turn?au ndio kaniblock tayari???.....mwee nina request tatu tu insta,nahisi pia ni watu wa mange,mna kazi kucreate fake profile mchunguze maisha ya watu ili mpelekee CEO wenu....get a life,you low life suck*ers!!
 
hahaaaaa mama aliolewa yule na mzee kimambi?si muislam yule?
bas jibu analo mie nataka picha za tbt na ndugu wa mama ake na mama ake pia kabla ya mengine

Hivi shoga kwanini huyu bibi hamuonyeshagi mama ake???
 
  • Thanks
Reactions: Mit
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom