Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Nimemwona mama may her soul rest in peace ila huyu mtoto kapagawa huku, ivi hakuna namna mzungu wake akaona anayoyafanya kwenye hio blogu yake????
we muache tu ipo siku yake siku zote mwisho wa ubaya aibu ndo itakayomkuta
 
Labda pia ni wakati muafakaa kwenda kuongea na vodacom Customer care Services au Corporate Services this Is madness has to stop Sio vizuri Watu wazima wakavuana nguo barabarani!!!!

voda wanamlia mingo tu
yani wale wadada km yule mwingine my very close person simtaji namhifadhi halafu mstaarabu jamani na wazazi sasa wastaarabu hatari anaona donge ye kaolewa us mume kafulia ptuuuu anabaki kutukana wenzie waliowahi hapahapa bongooo
wapiii dada achana nae na mungu ailinde ndoa yako miaka elffffff
 
Hao wanaoenda kutukana watu wa humu kwenye blogs tupo nao humuhumu JF.
Mimi last week nimechambwa kwa sintah eti namnyenyekea Matola!Kama mtu anajiamini anifuate huku ndio atakoma.Atarudi akawahadithie wenzie.Wapuuzi sana.
 
Last edited by a moderator:
Viola huko alipo anajuta masikini, maana kuna mtu kasema huyo mchepuko Samwel Massawe ana ngoma, muda mrefu anashangaa Viola kujiingiza.
Mkewe alishakufa na huo ugonjwa siku nyingi, yaani Viola kaacha si utupu tu bali maini na figo nje.

Jamani watu wajifunze kuanzia sasa, wamuache na maisha yake kabisa huyo Mange.
Maana si laana tu na uchizi ndani, sasa mtu wa hivi wa kazi gani kumtukana? Wakati yeye mwenyewe maisha yake tu kishajitukana.
Lah sivyo watu wataendelewa kutundikwa maisha yao na ukoo wote na huyo Mange.

Dawa ya mshenzii ni kuwa mshenzii zaidi Yake hawawezii kuacha na yeye ache aandamwe Mbona UKIMWII ni ugonjwaa Wa kawaida watu wanakunywa dawa na kuishi!!! Sema Ndio lazma ujihadhari
 
Ndio huyo mweusi wa upande wa kushoto eeh?
May her soul rest in peace....Aamin!

wa kushoto huyo mwingine dk mwele anajifanyaga mama ake kumbe alikua mchepuko wa mshua wake
 
Hao wanaoenda kutukana watu wa humu kwenye blogs tupo nao humuhumu JF.
Mimi last week nimechambwa kwa sintah eti namnyenyekea Matola!Kama mtu anajiamini anifuate huku ndio atakoma.Atarudi akawahadithie wenzie.Wapuuzi sana.

Wanakuogopaa ndio maana wanaenda mtaa wa pili kumbe wanapitaga Huku hahahahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
hahahaha et chupa ya chai ya pink ya kariakoo lol huyo mume wake huyo dada akizipata habari sijui itakuwaje nahisi viola atakua ICU watu watakuwa waoga kujiachia instaa maana anyday unaweza kuchambuliwa

Aah Wapi Viola mgeni wa mambo mbona wakina mbutaa wanajiachia tu!!!
 
Kwanini hampendi mama Yake? Au hakuwaga msomi? Jamani mama Wa watu

hv yule anampenda nani?zaidi ya ye mwenyewe na huyu nasritio yaonekana ni ndugu yake mange kwa mama ake
 

Attachments

  • 1422292636056.jpg
    1422292636056.jpg
    63.6 KB · Views: 246
  • 1422292652794.jpg
    1422292652794.jpg
    64.2 KB · Views: 236
  • 1422292664563.jpg
    1422292664563.jpg
    59.9 KB · Views: 233
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom