Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Simjui Mange ila unemsema sanaaa...umesema anaandika sana vile yuko depressed..I am convinced to think you might also be depressed kutokana na ulivyoeleza sifa za watu walio depressed...gazeti lako refu sana na point zinajirudiarudia.

Kama hajui unajaji nini? Sepa kwa mambo ya miaka na miaka kama hujui watu au hujui kuwasoma. Wahi wahi haraka yaani pita umejibu umejijibu usichojua? ...
 
queenkami

dah. Inaonekana unamjua kindaki ndaki huyo mange
 
Last edited by a moderator:

Sina cha kuongeza.
Umemaliza points zote muhimu.
kula like like like
 
Ila umeandika uzi mrefu pia I hope huna personal grudges nae ni mapenzi yako ulionayo kwa watoto, I hope ni hivyo..... Ila point unayo

Kwa kweli mie namsapoti mleta mada maana hii kitibwengi tunaiona kabisa amezidisha mipaka haswa kutafuta maugomvi na kutungia kwa kuongeza chumvi ilibwati wachikiwe .

Yeye muuza nguo ameanza na kuonba watu wasinunue bidhaaa au kushona kutoka kwa watanzania wengine mara eti wana pesa hawahitaji pesa ....

Nilikuwa nasoma blog yake sanaaaaa ila nimejikuta siitamanii tena hata masiku yanapita sijachungulia na uvivu wa kusoma magazeti na comments nimo. I guess ndio bye bye

Nani anataka kukaa kusoma mtu anayetafita ugomvi ana mwelekeo yaani kama vile anayeyuka polepole...kwabtulimsoma for years tunaoba tofauti kubwa sababu ya tabia yake. Ya Kiki na mumewe ndio alinisikitiasha sasa ameshindwa kumshusha akatafuta Diamond and co.

Wanawake tupendane wivu mbaya jamani wa kutakiana kushushana...duh
 
Ila umeandika uzi mrefu pia I hope huna personal grudges nae ni mapenzi yako ulionayo kwa watoto, I hope ni hivyo..... Ila point unayo

Honestly,deep inside i like Mange.
Ana vitu vingi navipenda mfano Mange anachekesha sana na pia anajituma kibiashara.
ILA kadri alivyozidi kugombana na watu ndivyo mapenzi yangu kwake yalivyofifia.
Na alivyosema mpaka saa saba mtoto analia njaa hajamlisha roho iliniuma sana nikakaonea Kakeanu huruma.Kwa kweli ningekua karibu yake halafu aseme vile sikufichi ningempiga vibao hata kama yeye ndo kamzaa huyo Keanu lkn hana mamlaka yakumtesa mtoto bila sababu.
 

Yaani nilisomaga mahala wanamsema kuwa yeye anamsema Zari katelekeza wanae huku kawaacha na baba yao for new yr na alikuwa nao xmas. Sasa yeye nae alitoka kumuacha mwanae na mfanyakazi wao wawili tu, wengine kwa babu yao mzungu. So wanasema waliochwa na baba yao walioachana kama mume na mke na kuzaa watu au mfanyakazi sababu alimzaa kabla hajaolewa na ambaye hakumlea hadi alipojiopolea mzungu dubai ndio baba mtoto akampa mwanae akijua ataji.a tena na kumsahau mtoto
 

Haha, ila pale kwa kiki ndio niliamini kuna shida kichwani kwa ushari tu ajambo, ila I blame wanaompa kichwa kule, kutetea na kusifia mambo yasiojenga hapana jamani
 
queenkami

Duh!

Hujaongeza vikolezo kweli?

Yaani mtu mmoja anagombana na watu wote hao?
 
Last edited by a moderator:
dah. Inaonekana unamjua kindaki ndaki huyo mange

Ni kweli namapata vizuri coz nilikua nampenda mbaya.Kila alichopost nilifurahia kukisoma.Kuna kipindi alisema atafunga blog yake huwa sipatagi muda wa kucoment ila siku hiyo nilimuandikia karibia coments sita zakumuomba asifunge.Sema sasa amenitoka sbb nimegundua ana wivu which puts me off.Na hii yakumshindisha mtoto na njaa yaani imenikera na nilitaka niandike huu uzi siku ile ile sema nilikua busy sana leo ndo nimepata muda wakueleza hisia zangu.
 
Duh!

Hujaongeza vikolezo kweli?

Yaani mtu mmoja anagombana na watu wote hao?

Hahaa hamna sijaongeza vikolombwezo.
Tena hapo nina uhakika sio wote.
Eti watu wote hao wanamuonea yeye.
 
Kuna wagumba ni mahodari wakumjua mwenye mimba hata ya wiki moja.

Je madaktari wenye kuzijua sifa za watu wenye matatizo ya akili nao ni vichaa?
Jibu kimoyomoyo.

Hahahahahaha naona kaisomaa kimoyomoyo
 
Na wewe una wivu wa kike tu...
Stress za kugombana na majiran zako huko.
 
Hahaa hamna sijaongeza vikolombwezo.
Tena hapo nina uhakika sio wote.
Eti watu wote hao wanamuonea yeye.

Kaazi kweli kweli.

Binafsi sielewi kabisa watu wazima walio kwenye ndoa na watoto juu kuendekeza mabifu na watu kwenye hii mitandao hadi kupelekea watoto wao kutukananwa.

Sijui hao watoto wao huwa wanabariki huo upuuzi? Na hao wenza wao nao sijui huwa wanaubariki huo upuuzi?

But what do I know....I'm just a mbeba maboksi.
 
Nimetoka mtaa wa uzunguni kwa mange kaweka post anahitaji tumuweke familia yake kwenye maombi sijui ana matatizo gani. ET haweki hadi ayamalize maana haters watamcheka na itamuuma...
 
DEEP MAWAZUUU maskini kaamua kupumzika kublogua sijui ntapata wapi umbea mzuri kama wa mama bhokenzo tatizo sinta anamuogopa sana zali la mentali
 
mange leo anaomba aombewe sasa sijui yeye anavyowatukana watoto wa watu sijui haoni kama wanaumia....mungu analipa hapahapa duniani..


Hey friends…… Sipo poa kihivyo….. Niko kwenye wakati mgumu sana. Only those very close to me ndo wanajua kinachoendelea kwenye maisha yangu kwa sasa……Kwa vile situation bado iko very raw I wont share na nyie kwasasa maana nnavyojisikia sasa hivi alafu haters wakianza kushangilia naweza kunywa sumu…..Ila situation ikishapoa kidogo na hali kuwa shwari kidogo ndo nitawaambia mwenyewe humu nini kilitokea. I think hapo hata ntakuwa na kifua cha kumudu haters ila kwa sasa hivi sina nguvu kwa kweli…….Kwa vile nimekuwa nikishare na nyinyi the UPS of my life, its only fair that I also share the DOWNS of my life………Wakristo na Waislamu wenzangu, hata wale mnaonichukia naomba mniweke mimi na familia yangu kwenye sala zenu…….PS: Alafu nahisi kama nipumzike kidogo kublog maana sasa hivi nna stress za kufa mtu, yani Im not happy at all and as you know misery loves company. Sasa nisije wamalizia watu stress zangu humu….lol…
 

Si ameomba umuombee hayo mengine yanahusu nini? We muombee tu....lol
 
DEEP MAWAZUUU maskini kaamua kupumzika kublogua sijui ntapata wapi umbea mzuri kama wa mama bhokenzo tatizo sinta anamuogopa sana zali la mentali

Sintah na Zari ni marafiki miaka mingi.

Mie nimemjulia Zari kwa kumuona Sintah anampost kwa blog yake na anakujaga TZ wanauwa wote kwa miaka mingi sasa.

Nakumbuka hata kwenda kum google kumsoma zaidi baada ya maelezo yake.

Wengi wanamshangaa ila how come maisha ya Dai na Zari ayaweke nje nje? y amuogope rafiki yake, je rafiki ndio aache watu wampake.

Kama wewe Zari kakukosea nini hadi useme hayo kuwa Sintah anamuogopa? utapata faida gani akiacha watu mumtukane mtu msiyemjua ambaye ni rafiki yake? kawaibia mabwana? NO. kawatukana NO, wivu YES, roho mbaya YES, etc hii imewajawa wengiiiii
 
Mie bado najisemea dogimasta kule insta ni huyu Mane maana nilichokiona kwa repost ya mtu maneno anavyotaka Diamond ashuke chini ni yeye yeye sema kwa blog hawezi andika yote so anamalizia kwa fake account yake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…