Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Ata mimi ndio swali Nilikuwa najiuliza kwakuwa hajamleaa bhoke lake kabinti kanaonekana kana busara na upendo manake amelelewaa na Mama Yake wa kambo naamini ata Huyo mama mlezii ni mtu mwenye roho nzuri
mi bhoke siwezi mchukia wala kumnini kale katoto kanaonekana descent sana ujue ila mange anaharibu mtoto yule jamani