Ata mimi ndio swali Nilikuwa najiuliza kwakuwa hajamleaa bhoke lake kabinti kanaonekana kana busara na upendo manake amelelewaa na Mama Yake wa kambo naamini ata Huyo mama mlezii ni mtu mwenye roho nzuri
mi bhoke siwezi mchukia wala kumnini kale katoto kanaonekana descent sana ujue ila mange anaharibu mtoto yule jamani
Halaf hiyo habari kaieneza yeyee et katumiwa news,,,aendeleze kuchamba na maiti jamani si mchambaji mkuuu!
Ndio kasema?
Eee kasema kwenye koment
Halaf hiyo habari kaieneza yeyee et katumiwa news,,,aendeleze kuchamba na maiti jamani si mchambaji mkuuu!
km kaeneza yeye ni uongoo anatafuta namna ya kufuta post zile
hyo ndo ntoke vipi yake
ngastukaa anaona kashazidiwaa
Bhoke jaman halaf ana sura ya kinyonge, ,,huyu mtoto akue vyemaa asiwe kama mama yake maana nyoka hazai chura
Thats possible
Hhhhhaaaaaaa
haki ya mode nastaafu ni shiiida
Comment ya wapi? So amefurahiiia akamle nyama basi
sure and the kid ukimuangalia hana furaha ana mengi yule mtoto mtazame vzri machoni mwake
tena wale sio wanafki kwenye shungi mfano yule mdogo lile shungi ni masaa 24anajivunia dini yake namsifu kwa kweliUwiiiiio huu uzi unakimbia kwa sekunde!Ni shiidah...
Huyo Mange aendekeze tu ujinga wake.Anawasema wenzie wanavaa mashungi ya kinafki,mbona yeye hua anakuja kusomewa dua?Tena ukimuona alivyojitanda na anavyoitikia dua utasema mashaallah mdada wa watu mstaarabu kumbe mshenzi # 1!
kabisaaaaaasAlivyokua kwa babake alikua na furaha kweli