Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

Omg..for once she cant humble herself and not make this about her. Life has been lost here. Every life has meaning. Omg why she is still talking. Is it just me who see this as a big crime committed. Omg in california if somwbody sue her for violet death she will go to jail for life. It wouldnt matter what violet said..omg huyu mwanamke sitaki kuamini...what is wrong with her. Please dont tell me bado bendera fata upepo wanamsupport with this one...still speechless
 
Yani kweli wachangiaji wa u turn wachawi! Wanamchamba mpaka marehemu na kumtupia lawama linda!
 

msema kweli mpenzi wa mungu. Tulaani wote wanaojitia uhayawani
 
msema kweli mpenzi wa mungu. Tulaani wote wanaojitia uhayawani

Mumle nyama viola.....mnafiki mkubwa wewe! V naye ni binadamu ana watoto na nduguze....mnakazana eti alimtukana mange tusi gani labda, weka caption! Jana umekuja na shari na cheap matusi sikukutusi leo umekuja moto umeona hamna anayekutusi ukabaki kujichekesha kama insane CEO wenu....na bado mnampa marehem RIP huku mnamchamba marehem na kumtia moyo huyo msagaji wenu....acheni roho mbaya kumtia ujinga huyo mange you are the only friends she has in this universe mwambieni aache hayo mambo
 
Well, too bad and too sad (if indeed it is true).

Unfortunately it is true..if you go to mange website she just said the husband told her Violet just died at Muhimbili....the husband apparently tried to contact Mange to take down the posts but due to the time difference california vs bongo Mange was sleeping and by the time posts were taken down it was too late...rip Viola
 
Hahahaaaa hivi unakesha humu leo wewe eeh??

Mpambe sana wewe....ngoja na wewe usemwe tuone kama utastahimili.

Lakini kweli mtu unajiua kisa umesemwa vibaya na watu?

Lazima maisha yako yalikuwa ni mabaya in the first place.

Tunatofautiana moyo siwezi jiuaa ng'oooo, ,nimeumia mange kusababisha kifo cha huyo mama nae video ya baba akifirwa isambaee na afe tu
Yule dada hakuna tusi alilomtukana mangeeee
 
Tunatofautiana moyo siwezi jiuaa ng'oooo, ,nimeumia mange kusababisha kifo cha huyo mama nae video ya baba akifirwa isambaee na afe tu

Asiwachukulie watanzania poa....kigagura yulee! Sasa mtu akiamua akuchambe wewe Dinazarde si atachanika maku bureee....
 
Last edited by a moderator:

I sure hope it's just a (cruel) hoax.
 

Viola RIP hakutukana kihivyo u know that i know that mange knows that na bendera upepo knows that...angekuwa amemtukana bhoke tungewekewa hilo tusi. Lile gazeti lote nilichoona ni kwamba alishabikia post za linda na mbuta sana sana alisema sebule ya wakwe ni kama stoo..zaidi ya kusema hivyo sijaona matusi aliyomtukana bhoke...msema kweli mpenzi wa Mungu..watupe hilo tusi alosema viola wa watu...this is just too sad
 
Asiwachukulie watanzania poa....kigagura yulee! Sasa mtu akiamua akuchambe wewe Dinazarde si atachanika maku bureee....

Yaan yeye achambe tu mim bado nahitaj kuishi mno,,,Nae kasema.kwenye msiba ni itakua ni Mange kila mtu,,jaman nimeamini mange ana laana +mikosi juu,,,akatambikeee,,nilisema hapo anajiongezea maadui umeona sasa hatakanyaga bongo huyo
 
Last edited by a moderator:

Nikuchekee nakujua, nakuona hayawani
 
Tunatofautiana moyo siwezi jiuaa ng'oooo, ,nimeumia mange kusababisha kifo cha huyo mama nae video ya baba akifirwa isambaee na afe tu
Yule dada hakuna tusi alilomtukana mangeeee

Kama ningekuwa mtu wa kujiua nadhani ningeshajiua tokea JF ianze 2006 maana hakuna jina ambalo sijawahi kuitwa au tusi ambalo sijawahi kutukanwa mpaka.

Bado siamini (1)kama kweli huyo mtu anayedaiwa kufa kafa na (2) kafa/ kajiua kwa sababu ya kutukananwa mtandaoni.
 
Tunatofautiana moyo siwezi jiuaa ng'oooo, ,nimeumia mange kusababisha kifo cha huyo mama nae video ya baba akifirwa isambaee na afe tu
Yule dada hakuna tusi alilomtukana mangeeee

Hapo mange kapata bichwa aisee video isambazweee tu na yeye aonje utamu wake Matola please do the needful
 
Last edited by a moderator:

Nikuchekee nakujua, ww si juha tuu km Mange na Linda. Ukiambiwa facts unaleta matusi.
Nilikuambia jana mchawi hujua wachawi wenzake.
Huna haja ya kutukana watu km umekunywa maji ya chooni. Ww km unakemea maovu kwa nini usiwakemee wote una base upande mmoja.
 
Ki ukweli na mimi imenisikitisha,na inasikitisha hao wapambe wake,wanaendelea kusema Marehamu.watu wana mioyo ya chuki
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…