Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Hivi itakuwaje wale watoto wa huyo mama wakiamuaaa kurevengee?? Mwenyewe kachukulia simple na kwanini watu wanaendeleaa kununua bidhaa zake? Na kwanini vodacom wanaendeleaa kumsponsor Cyber bullying Blogger???

inabdi tuanze kampeni na voda kwanza maana pesa zetu ndo zinamlipa
 
inabdi tuanze kampeni na voda kwanza maana pesa zetu ndo zinamlipa

Please let do that. Kifo cha huyu dada kisiende hivi hivi..nimejikuta naumia sana. Hao Vodacom Tanzania need to stop endorsing this cyberbulling...yani mtu kusema sebule ni sawa na stoo na kutukaniwa watoto mume etc is just not fair
 
Mimi nimewatumia SMS Facebook Sijui kama itasaidia ila wanaowajua watu wa karibu vodacom wangewaambia ukweli Logo Yao inasponsor Cyber bullying
na hapa jf wapo tutawaambia mpaka kieleweke
Please let do that. Kifo cha huyu dada kisiende hivi hivi..nimejikuta naumia sana. Hao Vodacom Tanzania need to stop endorsing this cyberbulling...yani mtu kusema sebule ni sawa na stoo na kutukaniwa watoto mume etc is just not fair
yani mpaka ajutie kosa lake huyu
haiwezekani damu ya mtu iende hv hv hana tofauti na wauaji wa albino huyu Vodacom Tanzania hebu njooni hapa mjibu
 
Last edited by a moderator:
na hapa jf wapo tutawaambia mpaka kieleweke

yani mpaka ajutie kosa lake huyu
haiwezekani damu ya mtu iende hv hv hana tofauti na wauaji wa albino huyu Vodacom Tanzania hebu njooni hapa mjibu

I Hope You guys Can do Something this Thing is Crazy She Is the One doing the bullying And People should boycott Buying her products dah this is real sad ila naona Mange mwisho wake mbaya
 
ndo kashaanza kuelekea kubovu huko
 
na hapa jf wapo tutawaambia mpaka kieleweke

yani mpaka ajutie kosa lake huyu
haiwezekani damu ya mtu iende hv hv hana tofauti na wauaji wa albino huyu Vodacom Tanzania hebu njooni hapa mjibu

Nimeshawaandikia hao vodacom...ukute marehemu alikuwa mteja wao..that is kama kweli amefariki. Im still hoping she is alive...
 
Last edited by a moderator:
Pump your brakes Ms. Lady.

Imeshathibitishwa kweli kuwa huyo mtu kafa kwa kujiua?
hajafa mtuuu ni changa la macho tuu ili utoe post yao ya mchambo ila mumewe na nduguze watakuwa wamempa vya kumpa ili akome.. nasema hajafa na kule kwa ma magreat ushuz ati wanajidai wao malaika. kuna sehemu wanabully watu kama jf acheni ushabiki mavi nyie mnachamba hadi viongozi wa nchi leo hii mnajidai nyie watu wemaa wanafiki tuu mkiongozwa na huyo dem matola anayejifanyajuaji wa kila kitu humu duniani wakati choko mmoja.
yes mpeni hi nyani nifah huna lolote sipo huko ningekuchamba hadi unye umesimama kikojozi wahed mziki hataree huu muulize ticha wa upe yule kizabinazabina mwenzio ati hamjaona tusi jipya, haya yazamani lakini yanawapa butterfly in stomach wee ticha lea kichanga hichoo umemkomalia mange utadnani mke mwenzio geniveroz wewe mwanamke una laana ya mamako pia umkome mange ---- wee unajidai unamchukiaaa kanywe period yako iliyochacha upunguze hasira manake ndimu hazikufai.
narudia tena sipo huko kwenu na siku nikijiunga ni kwa ajili ya my nyani only . mmesikia nyie wanafiki sipo huko kwenu wambea woote mnamuhisi nyamasaki buuree ni mie huyoo niko naishi majuu mbwa nyie takaka woote jf kasoro nyani nagabu tu!
mtaguess sana yani haniwezi hadi siku nikijiuga huko na nitawaambia manake mlivyo na midomo juu kama kama mana funguzs za matako tutakutana tuu.
halafu wee geniveroz una macho juu juu kama hippo sura bayaa ka ng’mbe anakunya sikupendiiiiiiiiiiiiiiiiiiii……………..

Nimeitoa kwa Mange
 
Pilipili ngabu ndo mbebz anayezimia swaga zangu?

Basi mpe hi huko aliko.

Mwambie namsubiri kwa hamu huku.

Atakuwa ni Mange mwenyewe anataka mpini wa kisukuma lol...maana humu JF watu wengi wanadhania nyasamaki ni mange na ukiisoma hio comment hapo juu kasema tusidhanie nyasamaki ni "yeye"...sasa hujiulizi ni nani km sio yeye mwenyewe Mange?
 
Mi nilidhani labda ni wewe..
 
Ni kweli Dinazarde.... Too sad she died at muhimbili baada ya kunywa sumu juhudu za kuokoa maisha yake hazilufanikiwa
Kama kweli its time for Mange to face court.U.S. sio mbali arudishwe T.Z.Kwa kesi ya mauaji.na mumewe atafsiriwe aonyweshe ushahidi wa yoote mkewe aliyokua anaandika kudhalilisha watu mtandaoni.
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli its time for Mange to face court.U.S. sio mbali arudishwe T.Z.Kwa kesi ya mauaji.na mumewe atafsiriwe aonyweshe ushahidi wa yoote mkewe aliyokua anaandika kudhalilisha watu mtandaoni.

Kuna Jamaa wa muhimbili nimemuuliza akasema naye amesikia ila hakuwa kazini..... Bado najiuliza
Kama ni kweli ama la..... Hatari sana hii mitandao Mkuu
 
Kuna Jamaa wa muhimbili nimemuuliza akasema naye amesikia ila hakuwa kazini..... Bado najiuliza
Kama ni kweli ama la..... Hatari sana hii mitandao Mkuu

Daaaah inasikitisha sana, ifikie mahali sheria ichukue mdondo wake.. Aisee nimechoka kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom