Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

Omg Omg Omg.. Omg
 
yaani we acha yani bado analaumu linda na florah
hafu eti anajisifu kwamba yeyote akiniingilia aka zangu namtukana na ukoo wake
anajifanya amelia leo mange unakujia kulia wewe muuaji au unakuskia tu?
nimeamini laana ya mzazi mbaya na utaua zaidi ya hapo
sasa sijui kati yake na mbuta nani chizi

dah nimeona
 
Last edited by a moderator:
jela inamuita for the second time inaweza isiwe kwa hili ila lipo jingine atalifanya la kumfia na hao washabiki maandazi tuone km yupo atakesimama upande wake
 

Ingekuwa umeanikwa picha zako na jina lako la kweli na familia yako na kuchambwa na kuchambuliwa kama karanga...hapo ungefananisha.

Ila sio kwa jina lako hilo ambalo natumaini ni feki la humu jf. So unatukaniwa jina na maandishi hawakujui weye nani au?
 
Pumzika kwa amani viola....I hope this whole drama ends,and we dont want to loose another life.....Mange sijui wale watoto-cute babies wakiwa wakubwa unataka waambiwe mama yao alikufa kwa sababu gani????hivi ule ukuta wa wakwe unacost somebody s'life kweli???wapi viola alipomtukana bhoke???
 

Vyovyote vile siwezi kujiua kwa sababu ya kutukanwa na watu wengine.

Labda mimi ndo niwaue wao kwa kuwapiga vibaya mno kwa sababu ya matusi yao.

Lakini mimi kujiua kwa sababu ya kutukanwa na watu wanaonichukia?

Abadani asilani kataan!


*Huyo inayedaiwa kafa kwa kujiua ni kafa kweli au ni propaganda tu?*
 
hana lolote mnafki yule hana cha kujitetea lengo lilimua avunje ndoa hongera zake ameivunja moja kwa moja kwa kuwatenganisha haya alisema mwenye namba ya simu ya yule baba aweke ili amtaftie mchepuko amtaftie na mke kabisa lengo lake limetimia
Tunatofautiana moyo siwezi jiuaa ng'oooo, ,nimeumia mange kusababisha kifo cha huyo mama nae video ya baba akifirwa isambaee na afe tu
Yule dada hakuna tusi alilomtukana mangeeee
mange akiona kazidiwa ndo zake anatafuta wanyonge hakumtukana chochote na video isambazwe km yeye alivyofanya
Asiwachukulie watanzania poa....kigagura yulee! Sasa mtu akiamua akuchambe wewe Dinazarde si atachanika maku bureee....
yule ni laana jamani tuwaambieni waume zetu kuchepuka na condom muhimu si mnaona madhara yake haya?
ametimiza tambiko lake kashatoa kafara hongera mange
yule hana tusi wala ushuzi ana laana yule ya mama ake
Yaan yeye achambe tu mim bado nahitaj kuishi mno,,,Nae kasema.kwenye msiba ni itakua ni Mange kila mtu,,jaman nimeamini mange ana laana +mikosi juu,,,akatambikeee,,nilisema hapo anajiongezea maadui umeona sasa hatakanyaga bongo huyo
km mizimu inarudi naomba violeth urudi

Nikuchekee nakujua, nakuona hayawani
kafagilie kaburi la mama ako mikosi inakufuata tu
Hapo mange kapata bichwa aisee video isambazweee tu na yeye aonje utamu wake Matola please do the needful
km atafurahi kwa hili😕yule ni mchawi
Ki ukweli na mimi imenisikitisha,na inasikitisha hao wapambe wake,wanaendelea kusema Marehamu.watu wana mioyo ya chuki
wanatukana ila wajue wanachochea moto
Halaf anaziachia comment duu mange utalipaaaa
yule ni mchawii mchawi kabisaaa amemtia kafara ili auze vironya vile
anachukulia simple mtu ukweli ni ktu kizito tena watu wanaongea facts au na chumvi juu
 
Last edited by a moderator:

huyu dada kweli chizi jamani lllooohhh
eti angeombwa msamaha kwa lipi muuaji mkubwa
 

jitahdi mkafagilie kaburi la mama mzazi
laana hiyo na bado utaua ht kumi
 

Hivi hajui wachagga wana damu mbaya ya kisasii shaurii Yake sitoshangaa akipigwa risasi ya kichwa duh Cyber bullying At its best!!!! Kweli she has earned it!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…