yule dada mchawi kabisa kabisa
huyo aliejiua ni nani hasa?au shabiki tu...huyu dada kweli chizi jamani lllooohhh
eti angeombwa msamaha kwa lipi muuaji mkubwa
violet kajiua kweli ujueehuyo aliejiua ni nani hasa?au shabiki tu...
Hivi itakuwaje wale watoto wa huyo mama wakiamuaaa kurevengee?? Mwenyewe kachukulia simple na kwanini watu wanaendeleaa kununua bidhaa zake? Na kwanini vodacom wanaendeleaa kumsponsor Cyber bullying Blogger???
inabdi tuanze kampeni na voda kwanza maana pesa zetu ndo zinamlipa
inabdi tuanze kampeni na voda kwanza maana pesa zetu ndo zinamlipa
na hapa jf wapo tutawaambia mpaka kielewekeMimi nimewatumia SMS Facebook Sijui kama itasaidia ila wanaowajua watu wa karibu vodacom wangewaambia ukweli Logo Yao inasponsor Cyber bullying
yani mpaka ajutie kosa lake huyuPlease let do that. Kifo cha huyu dada kisiende hivi hivi..nimejikuta naumia sana. Hao Vodacom Tanzania need to stop endorsing this cyberbulling...yani mtu kusema sebule ni sawa na stoo na kutukaniwa watoto mume etc is just not fair
na hapa jf wapo tutawaambia mpaka kieleweke
yani mpaka ajutie kosa lake huyu
haiwezekani damu ya mtu iende hv hv hana tofauti na wauaji wa albino huyu Vodacom Tanzania hebu njooni hapa mjibu
I Hope You guys Can do Something this Thing is Crazy She Is the One doing the bullying And People should boycott Buying her products dah this is real sad ila naona Mange mwisho wake mbaya
na hapa jf wapo tutawaambia mpaka kieleweke
yani mpaka ajutie kosa lake huyu
haiwezekani damu ya mtu iende hv hv hana tofauti na wauaji wa albino huyu Vodacom Tanzania hebu njooni hapa mjibu
violet kajiua kweli ujuee
hajafa mtuuu ni changa la macho tuu ili utoe post yao ya mchambo ila mumewe na nduguze watakuwa wamempa vya kumpa ili akome.. nasema hajafa na kule kwa ma magreat ushuz ati wanajidai wao malaika. kuna sehemu wanabully watu kama jf acheni ushabiki mavi nyie mnachamba hadi viongozi wa nchi leo hii mnajidai nyie watu wemaa wanafiki tuu mkiongozwa na huyo dem matola anayejifanyajuaji wa kila kitu humu duniani wakati choko mmoja.Pump your brakes Ms. Lady.
Imeshathibitishwa kweli kuwa huyo mtu kafa kwa kujiua?
Pump your brakes Ms. Lady.
Imeshathibitishwa kweli kuwa huyo mtu kafa kwa kujiua?
Anaitwa pilipili ngabu jinsi anavyokuzimia
Pilipili ngabu ndo mbebz anayezimia swaga zangu?
Basi mpe hi huko aliko.
Mwambie namsubiri kwa hamu huku.
Atakuwa ni Mange mwenyewe anataka mpini wa kisukuma lol...maana humu JF watu wengi wanadhania nyasamaki ni mange na ukiisoma hio comment hapo juu kasema tusidhanie nyasamaki ni "yeye"...sasa hujiulizi ni nani km sio yeye mwenyewe Mange?
Mi nilidhani labda ni wewe..
Kama kweli its time for Mange to face court.U.S. sio mbali arudishwe T.Z.Kwa kesi ya mauaji.na mumewe atafsiriwe aonyweshe ushahidi wa yoote mkewe aliyokua anaandika kudhalilisha watu mtandaoni.Ni kweli Dinazarde.... Too sad she died at muhimbili baada ya kunywa sumu juhudu za kuokoa maisha yake hazilufanikiwa
Kama kweli its time for Mange to face court.U.S. sio mbali arudishwe T.Z.Kwa kesi ya mauaji.na mumewe atafsiriwe aonyweshe ushahidi wa yoote mkewe aliyokua anaandika kudhalilisha watu mtandaoni.
Kuna Jamaa wa muhimbili nimemuuliza akasema naye amesikia ila hakuwa kazini..... Bado najiuliza
Kama ni kweli ama la..... Hatari sana hii mitandao Mkuu