Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

Hahahaaaaa! Pole sanaaa kwa kushikwa akili na mzaramo,zungu la unga.
 

Linda lafa tu yuleeeee! Kawabemenda watoto wale, mitoto 4 kila mtu baba yake! Afu hana hoja wala hana akili. Kuna siku nimewatukana kwenye ki IG chao wote wale kina nasratito, mujini sijui nini nimewapa mitusi mpaka wakamuamsha lindapapa alikuwa kalala na Mali aje ani block! Kama anajiamini ani nblock nimfundishe mitusi. Vikaja vi skank vinatukana kingereza nilivipa mambo mpaka vingekua vinajua french vingehamia humo. Lafa tu yule mtembeza papa.
 

Mwaimu lazima achambwe na mdundiko , anapelekwakindubwe ndumbwempaka kwa wanafunzi na mdundiko, afu anachambwa ndani ya pindi lake. Hahahahaaaaaaaaa! Mwenzie alikuwa mke wa king kong sasa sijui ticha atakua mke wa Emolo! Hahahhaaaaaaaaaaaaaaa! Au muke ya Olge, au Zimwi mtu! HAHAHAAAAAAAAAAA! Sipati picha.

Anakuwa bullied kivipi wakati kiranga chake kuingilia aya mambo? Angetulia na mumewe yangemkua haya? Humu celebrity lazima mchambe kule U Turn.😛oa
 


Kwa hio kama kaachana na baba Kenzo ndo ushoga huo? Mxiuuuuuuuuuuuuu! Lindapapa kaa chini katunga yale mambo tu, uso umemparamaaaa
 
Kuna mwalimu humu celebrity ana mdomo mrefu kasemwa kule U turn! Nani huyo mwenye kiherehere? Hahahahahaaaaaaaaaa! Ngoja nikamletee kichambo chake. Nani mshika chaki anashindana na LE MILLIONAIRES DAUGHTER?

Le millionaires' daughter le Trust fund baby
 
hahaaaa ndo mimi shosti wala sina habareeee nimechambwa ila alochokiweka linda ig mda huu nimejiskia vbaya na km ni kweli bas mi namuonea huruma mange km mwanamke wa kitanzania haki ya mama tena na napunguza mdomo kweli kabisa

Mie kimenisikitisha ila picha ya Mtoto Wa Mange wakaache kale kabinti She does not deserve this she Is too Young to be Cyber bullied
 

Kumbe na we unatukana halafu unamsema mwalimu au kwakuwa ye kaandaliwa kichambo?

Btw, kama Linda lafa huyo mange ni nani alafu ye ndo anatajwa kuwa msomi kuliko Linda??!! Lol
Kwa mtazamo wangu hao wote malafa tu na machizi ule sio ugomvi khaaa!!! But there you go....watu mmeshagawanyika jinsi ambavyo we unamuona Linda lafa ndivyo ambavyo wengine wanamuona mange lafa!
 

Hahahahaaaaaa! Mtie upepo tu mwenzio ajae kama puto, Mange anakuja na sindano huko! Hahaha haaaaaaaa! Ukisikia paaaaaaaaaaaaaaaaaaa ujue Ticha chaliiii na duster lake mkononi. hahaaaaaaaaaaaaaaaa!
 

Hahahahaaaaa! Mi nilienda kistaarabu sasa wakaomba ndevu kwa Osama, do nikawaonesha na mimi nimekaa uzaramoni. Mwalimu ana mdomo mrefu sanaaaaaa kuishupalia hii ishu, afu mwalimu watu wanamjua in ze PM, mpaka shule yake wanaijua. Kilichobaki kumsearch facebook to mwalimu kindumbwe ndumbwe na duster lake mkono mmoja, mkono mwingine chaki. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! Patamuje hapooooooooo! Sasa hyo mwalimu kama ni geni au sio bado sijajua manake humu nimo kama simo, ndo nausoa kwanza mchezo.

Ujue shule haidanganyi, kweli yule msomi kuliko Linda halina ubishi, ex drug dealer na MBA wapi na wapi? Linda ndo lafa anashinda kutaja viungo vya uzazi tu, mwenzie anampa fact za maisha , ampeleke mtoto shule yule.
 

Na aendelee kuchambaa kama zinamongezea Hela ili ajenge gorofa kama la mwavitaa Basi Kheri Yake na Sio kila siku kuonyesha nyumba za urithi next Time atuonyeshee jeuri ya pesa zake mwenyewe au Bado anazisaka kama wengine sie! Maisha ya ulaya tunayajua ni magumu Sana wajanja wanarudii kuwekezaa nyumbani!!
 
Kama wewe unavyolipwa na mmpare

Anilipe nini sasa, mimi mtu na shule yangu bwana siwzi kushikwa akili na ex drug queen ambae hajasugua kalio darasani. Hana facts, hana evidence, hana lolote zaidi ya matusi ya 1990s, manake wakisema waseme su wafanye face to face ya matusi na wadau wanamnyoa zivu LIVE.
 

Kwahiyo mlitaka muongee nyie ila wengine wasiseme? Kile ambacho mnakiamini nyie ni lazima na wengine wakiamini??

Na mkishachamba ndo anahamishwa sayari au?
Hahahaaa mchambeni mwayego pengine labda atabadilika rangi!
 

Sio kosa lake HIS DAD WAS RICH, ndo kesharithi, aliekunyima wewe a lindapapa ndo kamgea yeye. Pesa pesa tu kwani ya urithi inakataliwa dukani? Nyie ndo muhangaike mkilegea mtakufa njaaa, yeye kesha hangaikiwa. Hivi hizo box zina sh ngapi ya kununua heka 200 Mbweni? Au heka 2 Africana barabarani pale? Si ndoto za mchana hizo. She was lucky period.
 
Kwahiyo mlitaka muongee nyie ila wengine wasiseme? Kile ambacho mnakiamini nyie ni lazima na wengine wakiamini??

Na mkishachamba ndo anahamishwa sayari au?
Hahahaaa mchambeni mwayego pengine labda atabadilika rangi!

Hahahahaaa! Akisha chambwa ndo ataona rahaaa ya kushabikia kitu. Rangi tu, mtandao atauona mchungu, amulize mama maprado kama internent anaitamani.
 

Loooh mbwembwe zote zile mpaka leo hamja msearch?? Mtu mzima hatishiwi nyau!!

Mange na usomi wake anafanya nini?

Alafu hapa mnajisemesha mbona kule mnapewa za uso tu??
 
Kwa hio kama kaachana na baba Kenzo ndo ushoga huo? Mxiuuuuuuuuuuuuu! Lindapapa kaa chini katunga yale mambo tu, uso umemparamaaaa

Hao wamama ujawajulia wao ni watu wakiwatumia habari kwa nyuma ya pazia ndio wanarusha, sasa ziwe ungo au ukweli wao hata hawajali kudhibitisha ndio maana zinakwenda mbele.

so zingine ni siri za watu close na mmoja wanarusha kwa adui na ukweli unamuuma nae anasaka wanaendelea... kwa mie ndio nimeona sijui watamalizanaje.

uamuzi ni wao na wao ndio wanajua ukweli kwa lisemwalo na mwingine, wengine woteeee na wadaku wao ni kuangalia kujsomea kama burudani.

mxiuuuuuuuuuuu! wameweka mambo yao nje, so wanachosemana watajiju wakiongelewa na watu na wakijaji, mfano mie nani kusema ni uongo au ukweli. mie pia najifunza na kiswahili maana maneno mengine hata sikujua kama yapo.
 
gahahaha lara 1 mbona unakuja usiku wa manane watu wamelala haha njoo mapema bhana nipe nikupe ndo tam nakaanga popcorn kesho usikose
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…