lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
kama unavyomiamini mange(km una unamuamini maana sina hakka)ndo mie ninavyomuamini linda pia
na kingine kusoma kuelewa kukesha mbwembwe tu
mtu mange msomi wa masters yuko vile dah hatari sana na inawezekana mim(mwl),wewe na mange wote wajinga mi haya kwangu naona km na shule zetu
mimi kwa kumuamini linda mjinga
mange kubishana na kumchamba linda na wote wanaomsapoti
wewe kumtetea mange
Hahahaaaaa! Pole sanaaa kwa kushikwa akili na mzaramo,zungu la unga.