Sio kosa lake HIS DAD WAS RICH, ndo kesharithi, aliekunyima wewe a lindapapa ndo kamgea yeye. Pesa pesa tu kwani ya urithi inakataliwa dukani? Nyie ndo muhangaike mkilegea mtakufa njaaa, yeye kesha hangaikiwa. Hivi hizo box zina sh ngapi ya kununua heka 200 Mbweni? Au heka 2 Africana barabarani pale? Si ndoto za mchana hizo. She was lucky period.
Aaaah ni vitu vya kawaida by the Way mie sibebi mabox sorry For that ila ni vitu vya kawaida kuwa na viwanja sio ishu i just Dont know What kama wakina Mange if she was happy with all that she Never needed to Bully anyone And by the Way Kuna wanawake wengi wana majumba ya nguvu wamejenga kwa pesa zao wenyewe Tz so mie Bado sijamzimia sana ila namzimia mwavitaa kwakweli