Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Sio kosa lake HIS DAD WAS RICH, ndo kesharithi, aliekunyima wewe a lindapapa ndo kamgea yeye. Pesa pesa tu kwani ya urithi inakataliwa dukani? Nyie ndo muhangaike mkilegea mtakufa njaaa, yeye kesha hangaikiwa. Hivi hizo box zina sh ngapi ya kununua heka 200 Mbweni? Au heka 2 Africana barabarani pale? Si ndoto za mchana hizo. She was lucky period.

Aaaah ni vitu vya kawaida by the Way mie sibebi mabox sorry For that ila ni vitu vya kawaida kuwa na viwanja sio ishu i just Dont know What kama wakina Mange if she was happy with all that she Never needed to Bully anyone And by the Way Kuna wanawake wengi wana majumba ya nguvu wamejenga kwa pesa zao wenyewe Tz so mie Bado sijamzimia sana ila namzimia mwavitaa kwakweli
 
Loooh mbwembwe zote zile mpaka leo hamja msearch?? Mtu mzima hatishiwi nyau!!

Mange na usomi wake anafanya nini?

Alafu hapa mnajisemesha mbona kule mnapewa za uso tu??

Ila Kweli yaani hayupoo kama mtu aliyesoma na Hapo kasoma imagine angekuwa Hana Shule Au ndio kiki ya biashara mmmmh this Social Networking ni balaa
 
Anilipe nini sasa, mimi mtu na shule yangu bwana siwzi kushikwa akili na ex drug queen ambae hajasugua kalio darasani. Hana facts, hana evidence, hana lolote zaidi ya matusi ya 1990s, manake wakisema waseme su wafanye face to face ya matusi na wadau wanamnyoa zivu LIVE.

Sielewi Hapa unamuongelea nani ? Sioni kama kuna msomi Kati ya Hao wawili of anything They are All ODDS old down Dirty shame so uncivililized!!! Am glad wanawake wanaojieshimu wamekaa nao mbali but i still insist They should be an end to Cyber bullying
 
Hahahahaaa! Akisha chambwa ndo ataona rahaaa ya kushabikia kitu. Rangi tu, mtandao atauona mchungu, amulize mama maprado kama internent anaitamani.

Are u happy mimi kutukanwa na vibaraka wa Mange?

Ningekuwa verified user hao wanaotukana watu wasiotujuwa labda wangekuwa wanataka msaada kwangu, na kifamilia tukisema kila mtu ajiexpose ukwasi wa familia yao watu ndio watashangaa zaidi.

Nimekustahi sana kwenye hili weka akilini na kama Mange anasoma hapa ajuwe wazi Matola ni next level na siwezi kuexpose familia yetu mtandaoni.

Nalala for now i was opening fire to some criminals who tried to enter in my house. Am safe now, tukutane hapa asubuhi.
 
Aka kiwelu
 
Aisee!! Ahsante utandawazi, wewe kama bhange, unampa illusions mtu ajione kama superhero hata kama hawezi kupambana na mdoli akipelekewa..
 
Nimecheka huo mchambo wa wana Jf nilikua sijauona hahaaaaaaaaaaaaa yaani nimecheka saaaana na bado nacheka hapaa....... uwiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Pathetic sipendi mtu aongelee profession ya mwingine while yake haijulikani yupo tu humu anazagaa ka nzi wa chooni......
Hao wote mange na Linda vichaaa tu

Mbona we ulikua unawaongelea vibaya waliosoma Sociology na wenyewe sidhani kama walijisikia vibaya, that was pathetic also,
 
Are u happy mimi kutukanwa na vibaraka wa Mange?

Ningekuwa verified user hao wanaotukana watu wasiotujuwa labda wangekuwa wanataka msaada kwangu, na kifamilia tukisema kila mtu ajiexpose ukwasi wa familia yao watu ndio watashangaa zaidi.

Nimekustahi sana kwenye hili weka akilini na kama Mange anasoma hapa ajuwe wazi Matola ni next level na siwezi kuexpose familia yetu mtandaoni.

Nalala for now i was opening fire to some criminals who tried to enter in my house. Am safe now, tukutane hapa asubuhi.

Haaaaa Mpwa mie yule mtu kanichekesha saaana aiseeee

Mpwa naww unachambwa mara kwa sinta mara U turn
 
Nimecheka huo mchambo wa wana Jf nilikua sijauona hahaaaaaaaaaaaaa yaani nimecheka saaaana na bado nacheka hapaa....... uwiiiiiiiiiiiiiiiii

Teh teh teh ukweli unabaki kuwa ukweli tu.Waache tabia yakutukana familia na haswa watoto.
 
hahahahaaaaassss watuuu pipoooooooo
mpoooooo haya ila lara na wenzenu hebu acheni mikwara bubu bwana
mnitafute facebook kwikwikiweee
halafu yani mnaotea otea sana hamna ht uhakika na mnachoongea nasubiri kichambo mniongezeeee umaarufu
ila kichambo chenu ni cha anonimas sasa maana ht mfanyeje hamtonijua mmebaki na labdaaaa...
labda mumloby dinazarde km atakubali
ila na ye ndo mke muuza samaki sasa dohooo
 
Me akili yangu huyo binti sijui mama Viola aliyetaka kujiua ingekuwa fundisho kwao
 
Sasa wamegombana wao wenyewe hadharani, wametukana weeeee wamejidharaulisha wenyewe....mtu akiongea kinyume na matakwa ya mwengine ndo wamuandame???

Kila mtu na mtazamo wake bhana! Yupo ataechagua kumuamini Linda na yupo ataechagua kumuamini Mange.....simple like that.....hili halihitaji mwalimu kulielewa wala proffesor!

kuna watu wanapenda kusujudiwa sanas
kwa kua ye anaamini njano bas ukisema nyekundu umekosea am sory kwa hilo
hata linda siku akinibore nae atachambwa tuuu
 
Kwa iyo vita imehamia kwa geniveros....as far as I remember she is not the first na wala she wont be the last!#stopcyberbullying# ...its getting no better
 
Kwa iyo vita imehamia kwa geniveros....as far as I remember she is not the first na wala she wont be the last!#stopcyberbullying# ...its getting no better

achana bwana wanabully anonymous hv akili matope yani wamechelewa sana ujueee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom