miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Kwa iyo vita imehamia kwa geniveros....as far as I remember she is not the first na wala she wont be the last!#stopcyberbullying# ...its getting no better
team team hizi zinawapa presha ujue kila mmoja mjuvi
Mwaimu lazima achambwe na mdundiko , anapelekwakindubwe ndumbwempaka kwa wanafunzi na mdundiko, afu anachambwa ndani ya pindi lake. Hahahahaaaaaaaaa! Mwenzie alikuwa mke wa king kong sasa sijui ticha atakua mke wa Emolo! Hahahhaaaaaaaaaaaaaaa! Au muke ya Olge, au Zimwi mtu! HAHAHAAAAAAAAAAA! Sipati picha.
Anakuwa bullied kivipi wakati kiranga chake kuingilia aya mambo? Angetulia na mumewe yangemkua haya? Humu celebrity lazima mchambe kule U Turn.😛oa
Hizo team zao zinawapotosha coz hawagain chochote kupitia mafarakano yao....na kama kipo wanachokipata basi ni shida kwa kizazi hadi kizazi
sure sie wengine wapambe nuksii tu hapa yani wao ndo wanaumiamo usiku wanawaza leo tuandike nini
Teh teh teh ukweli unabaki kuwa ukweli tu.Waache tabia yakutukana familia na haswa watoto.
mie kwangu wote wale mataahira....... sijaona mwenye afadhali
ila huyo aliewasema wana JF kaniua mbavu.. nikitulia itabidi nikaangalie huko U turn
mie kwangu wote wale mataahira....... sijaona mwenye afadhali
ila huyo aliewasema wana JF kaniua mbavu.. nikitulia itabidi nikaangalie huko U turn
Teh teh teh ni shidaa aisee.Habari ikiletwa haitaachwa kujadiliwa.
shosti km kawa tunajadili vizuri iwe njema au mbaya
Hhhhaaa uuuuiiiiiii ni shedaaaaaa anaogopa kutuchamba tu humu anaona aende mtaa wa tatu
HhhhhhAaaa vunja mbavu ya mwaka kuanza
Mbona we ulikua unawaongelea vibaya waliosoma Sociology na wenyewe sidhani kama walijisikia vibaya, that was pathetic also,
Hahahahah....we nae nitolee wingu hapa....hunijui sikujui na wala sijakuquote bibie pita hiviiiiiiii👉👉👉👉👉👉👉👉
Ha ha ha unamsema kivuli....katusema wana jf mpaka mwenye jf.
Ni member wa humu huyo....kanichekesha ile mbaya.
Hhhhaaa uuuuiiiiiii ni shedaaaaaa anaogopa kutuchamba tu humu anaona aende mtaa wa tatu
hahaaaa mpaka mwana JF.. huyo lazima ni member na mfatiliaji wa mambo tu huku
ndio nishaku quote kama hujapenda kunya boga
hahaaaaaa shoga leo naja kununua samaki...
unitilie chachandu na pilipili lolest