Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Kwa iyo vita imehamia kwa geniveros....as far as I remember she is not the first na wala she wont be the last!#stopcyberbullying# ...its getting no better

Geniveros kafanya nini?wao wanatukanana hadharani kila mtu anasoma hayo matusi yao sasa imeletwa jf hili ijadiliwe.Wamewachamba mpaka mod
 
Mwaimu lazima achambwe na mdundiko , anapelekwakindubwe ndumbwempaka kwa wanafunzi na mdundiko, afu anachambwa ndani ya pindi lake. Hahahahaaaaaaaaa! Mwenzie alikuwa mke wa king kong sasa sijui ticha atakua mke wa Emolo! Hahahhaaaaaaaaaaaaaaa! Au muke ya Olge, au Zimwi mtu! HAHAHAAAAAAAAAAA! Sipati picha.

Anakuwa bullied kivipi wakati kiranga chake kuingilia aya mambo? Angetulia na mumewe yangemkua haya? Humu celebrity lazima mchambe kule U Turn.😛oa

haya lara karibuni sana hahaaassss
mi nakupendaga unanifurahisha na mineno yako tuuu
tena siku hiyooo njooni na keki nile vizuri woyoooooooo
 
Hizo team zao zinawapotosha coz hawagain chochote kupitia mafarakano yao....na kama kipo wanachokipata basi ni shida kwa kizazi hadi kizazi

sure sie wengine wapambe nuksii tu hapa yani wao ndo wanaumiamo usiku wanawaza leo tuandike nini
 
Teh teh teh ukweli unabaki kuwa ukweli tu.Waache tabia yakutukana familia na haswa watoto.

mie kwangu wote wale mataahira....... sijaona mwenye afadhali

ila huyo aliewasema wana JF kaniua mbavu.. nikitulia itabidi nikaangalie huko U turn
 
mie kwangu wote wale mataahira....... sijaona mwenye afadhali

ila huyo aliewasema wana JF kaniua mbavu.. nikitulia itabidi nikaangalie huko U turn

Ha ha ha unamsema kivuli....katusema wana jf mpaka mwenye jf.

Ni member wa humu huyo....kanichekesha ile mbaya.
 
Mbona we ulikua unawaongelea vibaya waliosoma Sociology na wenyewe sidhani kama walijisikia vibaya, that was pathetic also,

Hahahahah....we nae nitolee wingu hapa....hunijui sikujui na wala sijakuquote bibie pita hiviiiiiiii👉👉👉👉👉👉👉👉
 
Hahahahah....we nae nitolee wingu hapa....hunijui sikujui na wala sijakuquote bibie pita hiviiiiiiii👉👉👉👉👉👉👉👉

ndio nishaku quote kama hujapenda kunya boga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom