Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

Sijawahi kuwa na kesi na sitowahi.acha kumponza mwenzio Lara wewe mwenyewe hustler na unafanya kazi .Paris Hilton DJ anapiga mzigo ,Chelsea Clinton anapiga mzigo,Steve jobs daughter sandy anapiga mzigo ,Romney huyo watoto wake .Kufanya kazi ni muhimu kwa Sababu ni opportunity nzuri kuwa na marafiki wapya na kuwa na idea tofauti ya maisha and its health .Mange anauwezo mkubwa wakuwa na mafanikio Ana confidence na risk taker .Ugomvi wa nini ?faida gani ?
 
Hahahaaaa! Mtafute Mbutananga fashion au nasratito dakika 0, utakuta akaunti mpya ya linda. Kumpata Lindapapa ni dakiko 0 tu, angalia followers wa Mbutananga au account zake.

Ushawahi muona Linda au mange live?
 
Mama nyoni ndio nani
 
hahaaaaaaaaa hiyo ya kwa Sinta niliiona pia........ ni ka muda lakin kamepita

Shoga uko huku sa hivi ushakaanga Samaki

Jamani ata usijisikie vibaya kuna mmama mmoja wa kichaggaa amejenga ghorofaa Mbezi kwa kuuza samaki Botswana na sehemu nyingine kadhaa pia kuna mjasiriamali katajirika Kenya kwa kufanya Fish Farming nakupa hongera kadha bidii!
 
Mtu anayecheka WALIMU ni mjinga hakuna lingine na lazima mtu atakuwa alisota sana kama hata alisoma na kumaliza lazima ni zile za kusaidiwa kale ka E mark kabla ya F ili asipewe F afarijike.

Walimu kwa mimi nawaheshimu na wameinua waliosoma woteeee.

Hongera zenu na kazi njema.
 
Nina kiu balaa nina ya nne na DJ kwenye mashine anatenda haki yani hapa unitowi chini ya saa nane usiku.

Saa nane usiku ngoja panya road wakunaseeee nifah atajiua hhhhhaaa
 
Last edited by a moderator:

Asante...kwa niaba ya Mukoba ( Mwalimu wangu huyu benjamin Mkapa)
Tumepokea hongera zakooo...
 
Na nitajiua kweliiiii.Namkubali sana my ankal Matola.

Uwii hhhhhaaaaaaaaa nimejuaa tu Matola ee siku hiz humu mods wamelala hadi raha et zamani haya matimbwili ni ban siku hiz walaa et nifah
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…