mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 212
Humu ndani ukisoma comment unajua kuna kina linda...mbuta...nargis na kiki
Hahahah
Hahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We binti wa mama Nyoni na wewe unaongea nini? Kwanza kesi iliisha ya ufisadi? Sasa if dady left her some fortune kosa lake nini? Mwisho wa mwezi $ 5000 hizooo, akbebe boxi la nini? asukume chrehani ya nini? Linda should work hard, even harder cause dady may leave her with debts.😛oa
Hahahaaaa! Mtafute Mbutananga fashion au nasratito dakika 0, utakuta akaunti mpya ya linda. Kumpata Lindapapa ni dakiko 0 tu, angalia followers wa Mbutananga au account zake.
Instagram huko.. account ya Linda, Bedui
Mama nyoni ndio naniSijawahi kuwa na kesi na sitowahi.acha kumponza mwenzio Lara wewe mwenyewe hustler na unafanya kazi .Paris Hilton DJ anapiga mzigo ,Chelsea Clinton anapiga mzigo,Steve jobs daughter sandy anapiga mzigo ,Romney huyo watoto wake .Kufanya kazi ni muhimu kwa Sababu ni opportunity nzuri kuwa na marafiki wapya na kuwa na idea tofauti ya maisha and its health .Mange anauwezo mkubwa wakuwa na mafanikio Ana confidence na risk taker .Ugomvi wa nini ?faida gani ?
Sijaelewa hili bandiko lako lengo nini? mara sifatilii umbea, mara naburudika, mara mashoga wapo? Get a life!
hahaaaaaaaaa hiyo ya kwa Sinta niliiona pia........ ni ka muda lakin kamepita
Shoga uko huku sa hivi ushakaanga Samaki
Anayewasema walimu ni pumbavu kabisa, Taifa bila walimu watoto witu watafundishwa na mikundu yao?
Hii imejipost au ni wewe umeandikaa !teh...zile bia vipi ushafikisha ngapii
Mtu anayecheka WALIMU ni mjinga hakuna lingine na lazima mtu atakuwa alisota sana kama hata alisoma na kumaliza lazima ni zile za kusaidiwa kale ka E mark kabla ya F ili asipewe F afarijike.
Walimu kwa mimi nawaheshimu na wameinua waliosoma woteeee.
Hongera zenu na kazi njema.
Saa nane usiku ngoja panya road wakunaseeee nifah atajiua hhhhhaaa
Uwiiiiiiii mambo yamehamia huku.Wapi geniveros Ms.Lincoln
Acha hizo habari njoo angalau unywe twenzetu Thai village tukaangalie sky light.......
Uwiiiiiiii mambo yamehamia huku.Wapi geniveros Ms.Lincoln
Uwiiiiiii mambo yamehamia huku.Wapi geniveros Ms.Lincoln