Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
hii imekua mara kwa mara anasemwa kuwa ni mgonjwa wa akili sasa kuna baadhi ya mambo.anayofanya unaeza dhani ni kweli kama anavopiga picha na.zile chupi kubwa mmh

Si ndio hivyooo sasaa analenga panapokaribiana na ukweli hiv uliona chumba anapoishi Mange ni pachafujee shagarabagaraaaaaa
 
Si ndio hivyooo sasaa analenga panapokaribiana na ukweli hiv uliona chumba anapoishi Mange ni pachafujee shagarabagaraaaaaa

Ha ha ha kama stoo vile, huo muda na nguvu anazotumia kutukana watu bora angekuwa anapanga panga ndani kwake
 
Ila bhoke hana raha huyo mtoto sijui kanaumwa sijui baba wa kambo anamkosesha rahaaa,sijui ashajua anavyotukanwa mtandaon kupitia mama yake

yani anatia unyonge kweli yule bnti hofu yangu asijekua km mama ake maana anamjengea kitu kbaya sana
 
hahaaaaaa ni shiida anajiita anti yake bhoke nacheka kufa jamani kkkaaashh

ha ha ha mi ananchekesha sana mambo yake ila pia nampenda na anaonekana ana akili kumzidi mama bhoke...
huyu mpare lazma ana kautaahira eti anasema maduka ya flora ni frame ushuzi yeye maduka yake yapoje
 
Ha ha ha kama stoo vile, huo muda na nguvu anazotumia kutukana watu bora angekuwa anapanga panga ndani kwake

Yaan sijui anaishi chumba na sebule kochi mbaya,,,nahis alikua akipangalia kwa Zari sebule ilivyo kalii hasira zinamzidii
Ila mange aoge mfedha atoe nuksii
 
ha ha ha mi ananchekesha sana mambo yake ila pia nampenda na anaonekana ana akili kumzidi mama bhoke...
huyu mpare lazma ana kautaahira eti anasema maduka ya flora ni frame ushuzi yeye maduka yake yapoje

Aliyaona maduka mazuri kwelii yupo karibu na duka maarufu linaitwa New look na anafungua tena la piliii hhhhaaa
 
naona thread ya mama wa kujipiga dildo inakimbia
 
Si ndio hivyooo sasaa analenga panapokaribiana na ukweli hiv uliona chumba anapoishi Mange ni pachafujee shagarabagaraaaaaa

chumba km stoo ya vtu vya zamani daah
mda wa kuandika magazeti si angekua anafagia bas
anapata wapi mda wa kujipamba,show off akakosa dkk tano za usafi ni shiiiiidaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom