Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
He jamani! Udaku na huku tena? Nilidhani mwisho ni kwa shigongo na wenzie
 
Kuna sehemu nimewamention mkacheke et albet alisema kua Mange ananuka uchi vibayaa ndio maana kwenye email akasema amemchukia hawez kumsamehe
Hiyo issue ya kunuka uchi hata mie niliisikia kuna mtu alisema yule dada zinati aliwaambia baada ya kurudi bongo baba kenzo alikuwa akilalamika shostito uchi unapwita mnuko.
 
Angejitibu,, tatizo.muda mwingi yupo mitandaon atajishughulikia saa ngapiii
 
Hiyo issue ya kunuka uchi hata mie niliisikia kuna mtu alisema yule dada zinati aliwaambia baada ya kurudi bongo baba kenzo alikuwa akilalamika shostito uchi unapwita mnuko.

Uwiiii!Kumbe hadi mume wake ananung'unika jamani!Hivi kwanini asioneshwe ile e-mail ya mwamy hata kutafsiriwa asaidiwe ili a file divorce tu?
 
Updates kaweka katolewa dinner ila pic ya baba keanu holaaa......alivyoshabikia mambo ya kiki hebu tumuone yeye yake yataendaje

hana lolote anajifariji mi namuombea asiachwe maana atazidi kua mtata
 
Nawe si umpe tu ile dawa yako?Au imeisha?Yaani siamini hapa mange na mashauzi yake yote yale kwa bibi kunatema?

Hhhheeee akafanyiwe surgery vitolewe vinavyotema,,dawa siwez mpaa
 
Achana nao bwana hawakosekani hao.Sisi tupe vitu tufurahi maana leo siku yangu imekua nzuri sana.

Shoga leo nimefurahije?Jana mange kaniudhi sana kutukana hadi vitoto vimalaika visivyojua lolote.Tena kawaita future malaya na yule wa yule dada eti atakuja kua shoga!

Hiyo issue ya kunuka uchi hata mie niliisikia kuna mtu alisema yule dada zinati aliwaambia baada ya kurudi bongo baba kenzo alikuwa akilalamika shostito uchi unapwita mnuko.

Uwiiii!Kumbe hadi mume wake ananung'unika jamani!Hivi kwanini asioneshwe ile e-mail ya mwamy hata kutafsiriwa asaidiwe ili a file divorce tu?

Nawe si umpe tu ile dawa yako?Au imeisha?Yaani siamini hapa mange na mashauzi yake yote yale kwa bibi kunatema?

mnanifurahisha kweli ujue
eti ampe dawa dah hv inakuaje unanuka au ugonjwa?
 
Inaweza kua ugonjwa kama fungus,magonjwa ya zinaa ,au hajisafishi na maji ya baridi akaingiza kidole kusafisha kona zote kutoa uchafu mweupe,
Au kwa vile mgovi vile anaweza kua alitupiwa salalaa la kunuka weeeeee utaisafisha kila saa kila muda lakini wapiii mnuko unazidi tuu
 
dah i feel sory for her aje umpe tiba
 
Haha haaaaa,nimekumiss kweli kichunafk.Umenichekesha eti sasa hivi watoto wanalala na nnya kabisa...uwiiiiii!
Mimi nataka aje huku huyo mpuuzi pikipili anayetaka mti.

nipo my dia, sema majukumu haya yananikosesha umbea.
Nikaukalia chini nimeusomaaa, nikapita na kwake nikaona kweli hii ngoma nzito kwa bishost.
Anajikaza sababu hana jinsi tu ila ana-admit kuwa kawezekana.
Sasa nifah wadhani comments zote zile kweli kenue amebadilishwa papers kweli?
Kataunguajeeee na mikojo na nnya juu dadadeki.
 
Last edited by a moderator:

hahaaaaa una points tupu
i mith uuuu
 
Hhhhhaaaaaaaaa achukue moj ya misukule yake akaifanye iwe mfanyakaziii
 
Last edited by a moderator:
Anajichanganya akipanic comment za insta anaziachia na huku, hehehe kweli kuna watu bora wangebanwa tu wafie huko toka enzi kuliko kuja kusumbua huku downtown duniani

yule ni amegeuzwa katuni kwa anavyovifanya.
Mtu gani huna hata amani ukiwa kwenu hadi unataka kutembea na walinzi?
Ile ni mental case kweli tena yaweza kuwa zaid ya mbuta nanga.
 
hahaaaaa una points tupu
i mith uuuu

mith you too geniveros.
Nimecheka tu mnavyowakosesha watu usingizi kwa kujadiliwa na kupewa magazeti ya kutosha
na bado, ataisoma namba. Hapa ndo home of great thinkers, ukija kichwa kichwa unakalishwa tu.
 
Last edited by a moderator:
wadhani hapendi?
Hela shosti ndio tatizo.
Kumuweka mtu US si kazi ndogo, inabidi ajikaze tu.
Na sipatii picha ndani kwake palivyo

Ni shidaa ndio maana hua anasema oo sitaki kua karibu na watanzania huku kumbe anaogopa kutembelewa hhhhhaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom