Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
haya ona sasa
Hivo hivo, akijamba wenzie wanaharishaa. .this time kashikwa pabaya, angejinyamazia tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya ona sasa
Hivo hivo, akijamba wenzie wanaharishaa. .this time kashikwa pabaya, angejinyamazia tuu
Hivo hivo, akijamba wenzie wanaharishaa. .this time kashikwa pabaya, angejinyamazia tuu
Sweetie.... inatosha. Njoo tulale sasa.
Mwisho wa haya yote utakuwa mbaya, Kasema anamweka Nagris na wanavyomsema Adelina du.
Nargis wa watu kamkosea nini?
Hahahaaa we bazazi punguza pombe hivo. hadi unamsahau mkeoo?
Hivo hivo, akijamba wenzie wanaharishaa. .this time kashikwa pabaya, angejinyamazia tuu
Poor Nargis ni casualties of war...kwenye vita ndo ile unasikia kuna bomu limelipuka bangdad civilians 10 wamekufa ambao hawahusiki na vita sasa poor Nargis mmewe na mtoto wamekuwa casualties of war vita ya linda na mange...too sad that we live in a world that you can be told you will be cyberbullied and there is nothing you can do..i believe if she humiliated them they can seek damages...but ndo hivyo bongo yetu tajiri mutoto madai yake atawalipa wahusika kesi ife..unbelivable!!!#
umeona eeehhhhu.
ye mjanja kudoboa wenzie
mbona hili yupo kimyaaaa ..
.tutampa hadi akalimie kaburi
Miaka 60 tu!!!??? Yule mzee namjua toka wanaishi makumbusho miaka iyo ya 90 mwishoni alikua tayari mtu mzima yani hakosi 70 yani now anamaisha ya shida mpaka anatia huruma masikini...mama yake linda alikufa miaka ya 90 hapo hapo makumbusho tukaenda kumzika uzaramuni huyo kama sikosei njia ya mbagala sasa kama baba yake mzima tu anashindwa kumsaidia itakua huyo alokufa hata ilo kaburi lilipo hajui tenaNa Linda je?
Mbona naye nasikia kamtelekeza baba yake anaishi maisha magumu ilihali ana uwezo wa kumsaidia tena nasikia ni mzee ana miaka 60?
Kama hili ni la kweli.....hivi anaendaga Bongo kweli kumsalimia baba ake?
mmmhh niliiona hiyo habari kuna screen shot iliwekwa hadi huruma.Ni sawa na watu ambao wanapitiaga abusive life alafu anabaki na roho ya kisasi.Jamani kimavi alishahojiwa na gazeti akasema aliteswa sana na mama wa kambo akawa anabully wenzie shule mpaka anafukuzwa....ana matatizo na laana ya mamq.Muombeeni
Miaka 60 tu!!!??? Yule mzee namjua toka wanaishi makumbusho miaka iyo ya 90 mwishoni alikua tayari mtu mzima yani hakosi 70 yani now anamaisha ya shida mpaka anatia huruma masikini...mama yake linda alikufa miaka ya 90 hapo hapo makumbusho tukaenda kumzika uzaramuni huyo kama sikosei njia ya mbagala sasa kama baba yake mzima tu anashindwa kumsaidia itakua huyo alokufa hata ilo kaburi lilipo hajui tena
alafu we gay why unapenda kuni qoute sana khaaaaHata akiwa na miaka 100 hajakuja kukuomba msaada.
Watanzania ki asili ni watu maskini haya mengine jipeni faraja tu kupitisha siku.
Miaka 60 tu!!!??? Yule mzee namjua toka wanaishi makumbusho miaka iyo ya 90 mwishoni alikua tayari mtu mzima yani hakosi 70 yani now anamaisha ya shida mpaka anatia huruma masikini...mama yake linda alikufa miaka ya 90 hapo hapo makumbusho tukaenda kumzika uzaramuni huyo kama sikosei njia ya mbagala sasa kama baba yake mzima tu anashindwa kumsaidia itakua huyo alokufa hata ilo kaburi lilipo hajui tena
Mume wa Mange ameamua kuwa officially gay na waliopo Houston wameshuhudia kuwa mara kadhaa ameonekana Houston gay club.kama upo US nadhani unajua jinsi watu walivyo wambea.kila kitu kinajulikana.na Mange ameachwa kwa makubaliano walee watoto.ndio maana amechanganyikiwa sana kwa sasa.na kilichomchanganya ni kujua mumewe anatoka na mwanaume mwenzie na sio mwanamke ndio maana amekua kimya sana hivi Lance angekua anatoka na demu kwa mdomo wa Mange huyo dada angekua kwenye wakati gani??-
Ni ya kweli hayaaaaa km ni kweli duuhhh