Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Hivi hawa malaya wanaong'ang'ana na kazi yako mbona profession zao ndio hatuzijui kama sio wauza maku,mwalimu mwalimu haya nyiee wasomi mwafanya nini huku na sie walimu,na ndio tupo hapa 24/7 ni mwendo wa division 5 kwenda mbele kwani tunadaiwaaaaa?mxeeeeeew mkafie uturn hukooo

hahahaaaaaaaah
hahahaaaaaaaaaaaaaa
haaaaaasshhhhhaaaaa umeuwaAAAAA
 
Sitashangaa mwalimu akiwa bullied hapa kwa maana its what they can do best....I luv tz teachers! #stopcyberbullying #..iwe linda au kimambi
 
geniveros kama hujajua nw wanakuattack wewe personally....wanataka wakubully useme nao.Sijaona baya ulilofanya zaidi ya kuelezea hisia zako na jinsi unavokerwa na tabia ya kubully as for kichambo huyo zels kasema Mwendawazimu hachagui, sio ww ulosema ivo.Kachamba shoga zake seuze anony!

shauri bwana weeeweee
yaani wao wameniona mie tu dah
kweli tatizo nyotaaaa
hakuna tusi jipyaa hapa duniani mi wantukane tu
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaaaah
hahahaaaaaaaaaaaaaa
haaaaaasshhhhhaaaaa umeuwaAAAAA

Wanaboaaaa kulazimisha wanachokiona wao sawa na wewe ukikubali hapa mange na Linda wote vichaaa inakuaje mtu akulazimishe uchague ukichaa wa nani??? Huyo mange kama msomi aonyeshe usomi wake kama kina shamim na kiki au wanadhani wale ni wajinga hawawezi kuchamba pia mxeeeeeww
Ndio muandae mazagazaga yoteeee kama ni moet mpaka mbilimbiiiii mtajijuaaaaaaa
Na kama wanauchungu sana na walimu hebu wapishe wakafundishe wao
Mie ni mlinzi na bado nakesha na jf na ndio mtuwacheeeee....magott
 
geniveros kama hujajua nw wanakuattack wewe personally....wanataka wakubully useme nao.Sijaona baya ulilofanya zaidi ya kuelezea hisia zako na jinsi unavokerwa na tabia ya kubully as for kichambo huyo zels kasema Mwendawazimu hachagui, sio ww ulosema ivo.Kachamba shoga zake seuze anony!

Anaekuambia ukwelu anakupenda, acha kumpitosha mmwenzio. Nchi yenyewe ya kibinafsi, wala rushwa hawakamatwi wala hawaadhibiwi. Akina mwenzangu na mm ndio wanatolewa kafara hata kwa makosa ambayo hayana kichwa wala miguu.

Mzaramo kasema kusema kupo masikililizana hakuna
 
Last edited by a moderator:
shauri bwana weeeweee
yaani wao wameniona mie tu dah
kweli tatizo nyotaaaa
hakuna tusi jipyaa hapa duniani mi wantukane tu

Bibi weeee kwani kichambo sh. ngapi vileee? Wakachambe vyote wasibakishe hata moja! Iiiiishiiii.....wakutishe nini sasa, kuna usilolijua katika maisha yako??? Aaarghaaaa

Na ile style yao ya kutukana ukoo mzima, yaani ndo kwanzaaaa unashushia novida bardiiiii na chaki unashika kwa raha zako! Khaaa usiongee opinions zako kisaaa? Kichamboooo....loh!!!
 
Pathetic sipendi mtu aongelee profession ya mwingine while yake haijulikani yupo tu humu anazagaa ka nzi wa chooni......
Hao wote mange na Linda vichaaa tu

hahaaaa we unaogopa kusemwa haaa
nilisemwa tangu utoto
mama aliponizaa
maneno yao sio moto
hayawezi kuniunguza
 
Anaekuambia ukwelu anakupenda, acha kumpitosha mmwenzio. Nchi yenyewe ya kibinafsi, wala rushwa hawakamatwi wala hawaadhibiwi. Akina mwenzangu na mm ndio wanatolewa kafara hata kwa makosa ambayo hayana kichwa wala miguu.

Mzaramo kasema kusema kupo masikililizana hakuna

so na sie tunampenda mange ndo maana tunamwambia ukweli ujue
 
Bibi weeee kwani kichambo sh. ngapi vileee? Wakachambe vyote wasibakishe hata moja! Iiiiishiiii.....wakutishe nini sasa, kuna usilolijua katika maisha yako??? Aaarghaaaa

Na ile style yao ya kutukana ukoo mzima, yaani ndo kwanzaaaa unashushia novida bardiiiii na chaki unashika kwa raha zako! Khaaa usiongee opinions zako kisaaa? Kichamboooo....loh!!!

hahahaaaaaaaaaa
hiyo inaitwa utajijuu
 
Mi nasikitika sanaa kuona ticha mzima unachotwa akili na mtu hata darasani hajakaaa! We si ulifundishwa tofauti ya fact, theory, na speculations? Sometime tumia shule yako kwenye majungu. Mi lindapapa simlaumu cos shule hajaenda hawezi kujua hizi tofauti. Pale katoa tu speculations ambazo hazina ground yoyote. Angeweka marriage certificate au picha wana kiss or anything lakini sio kuropoka tu. Mtu na akili zangu kama mie hawezi kunipata kirahisi hivo. Na pale mlio amini mijinga tu.

Sio Kama namtetea mange ila mume wake anawahusu nini.wamwache kaka wa watu jamani.i feel sorry for the men.Imagine kaka ako kamwoa mange .

kama unavyomiamini mange(km una unamuamini maana sina hakka)ndo mie ninavyomuamini linda pia
na kingine kusoma kuelewa kukesha mbwembwe tu
mtu mange msomi wa masters yuko vile dah hatari sana na inawezekana mim(mwl),wewe na mange wote wajinga mi haya kwangu naona km na shule zetu
mimi kwa kumuamini linda mjinga
mange kubishana na kumchamba linda na wote wanaomsapoti
wewe kumtetea mange

Mie nadhani kuchangia kwa Mange kusemwa mume wake ni alipoondoa kwa insta neno WIFE na kufuta picha sijui zote alizopiga na mumewe na kuacha chache walizopiga na wengine. Ndio maadui wakaanza kazi ya misako ya Y Y Y. Labda kama karudisha sijachungulia.

Kama bado wanatafutana wamama hao basi tena watajiju, natumaini mwisho wa hayo usiwe mbaya kwao.

Ila duh wanakazi ya kuandikana, lazima hawalali usiku.
 
hahahaaaa wanaotana wale ila mwisho wao hawa sio mzuri
 
Sitashangaa mwalimu akiwa bullied hapa kwa maana its what they can do best....I luv tz teachers! #stopcyberbullying #..iwe linda au kimambi

Sasa wamegombana wao wenyewe hadharani, wametukana weeeee wamejidharaulisha wenyewe....mtu akiongea kinyume na matakwa ya mwengine ndo wamuandame???

Kila mtu na mtazamo wake bhana! Yupo ataechagua kumuamini Linda na yupo ataechagua kumuamini Mange.....simple like that.....hili halihitaji mwalimu kulielewa wala proffesor!
 
Wanaboaaaa kulazimisha wanachokiona wao sawa na wewe ukikubali hapa mange na Linda wote vichaaa inakuaje mtu akulazimishe uchague ukichaa wa nani??? Huyo mange kama msomi aonyeshe usomi wake kama kina shamim na kiki au wanadhani wale ni wajinga hawawezi kuchamba pia mxeeeeeww
Ndio muandae mazagazaga yoteeee kama ni moet mpaka mbilimbiiiii mtajijuaaaaaaa
Na kama wanauchungu sana na walimu hebu wapishe wakafundishe wao
Mie ni mlinzi na bado nakesha na jf na ndio mtuwacheeeee....magott

Teh! Teh! Teh!
Asanteeeeee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom