View attachment 102766
Jana nilikuoa pale na madoido yako...
Mi penda sana pozi lako la kipicha..
hope hata kaka yako watu8 anafurahia
kweli uzuri(urembo) wako ni wa asili kabisa...
cc; Heaven on earh and Smile
sis Mrembo by Nature...pulizzz kuja this side atiii
sasa unataka kujikataa niite mashaidi?
wanitukaneje jamani...hahaha..
Umemuona huyu jamaa anavyonichokoza?
Mi nipo pembeni namuangalia tu...
Mi nipo pembeni namuangalia tu...
Mkuu hebu nambie Kisambo iko wapi hii? Manake.naona Mrembo by Nature ndo mgeni wetu
Kaizer nimejimuvuzisha huku tu....Mkuu hebu nambie Kisambo iko wapi hii? Manake.naona Mrembo by Nature ndo mgeni wetu
Mkuu hebu nambie Kisambo iko wapi hii? Manake.naona Mrembo by Nature ndo mgeni wetu
Mkuu hebu nambie Kisambo iko wapi hii? Manake.naona Mrembo by Nature ndo mgeni wetu
Kaizer nimejimuvuzisha huku tu....
kiwatengu mbona Mrembo by Nature hajagi hayo maeneo
alishaacha siku nyingi sana
Kaizer nimejimuvuzisha huku tu....
kiwatengu mbona Mrembo by Nature hajagi hayo maeneo
alishaacha siku nyingi sana