Yuko bize, tuletee mwingine.Karibu byongo
DJ sepetu
Kupigwa na mamaNini unakumbuka zaidi kuhusu maisha yako utotoni
DJ sepetu
Kutowekwa karibu na ndugu zangu wa ubabani..Nini ulikosa toka kwa wazazi unachojutia
Kwanini
DJ sepetu
Mazuri ya familia yangu ni kwamba tumelelewa kwny maadili ya diniFamilia yenu ilikuwa ya aina gani!?
Yepi mazuri yepi madhaifu
DJ sepetu
U can just skip this thread..We are tired of your non- logical interviews
Sent From My Nokia Ya Tochi
Utotoni mwako majirani wana mchango wowote positively or negatively!? WhyMazuri ya familia yangu ni kwamba tumelelewa kwny maadili ya dini
Madhaifu..heheh! Sio vzuri kuanika aibu za nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu potezea, kila mtu ana Interest zake. That's why hii inaitwa ForumWe are tired of your non- logical interviews
Sent From My Nokia Ya Tochi
Aisee NEGATIVEUtotoni mwako majirani wana mchango wowote positively or negatively!? Why
DJ sepetu