OK baby shukrani kwa ushirikiano karibu sana mwaaaa![emoji23]I will kill him first and cut his body into pieces...
Bhana si inatosha!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jazakha llahu khayra.Ntaihimiza na kuikandamiza nafsi yangu naamini Allah atanfanyia wepesi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani akitongoza itakuathiri nini kwa upande wako mkuu??
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]نِمْ فُوأتِلِيٓ گِلٓ قِتُ نٰتٓمٓنِ نِكُءن
تفذل بنت
MmmhhhhHii interview imenibadili jinsi nilivyokuwa nakufikiria byongo . Comments zako zilinipa picha tofauti na niliopata kwenye hii interview!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Endelea kufatilia kila kituu...
Una bahati sina keyboard yenye Arabic letters
Sent using Jamii Forums mobile app
نفيكر توتفتن أو ءُناءنج
؟
Muosha rungu going to the target nowNiliwahi kupatwa na tukio kama hilo, ningependa kujua kwako wewe tatizo lilikuwa nini.. kama hutajali hata nijibu PM tu..
You have tried very much to avoid hypocrisyHeheheheh...
Hakuna mwanamke anapendelea mumewe aoe mke mwngine...na mume akiamua kuoa huwezi mzuia..
Kuongeza mke ni ruhusa Mungu alishawapa,nitake nisitake,nipende nisipendw ishakua hvo...
Mm kuolewa mke wa pili labda kwa situation kati ya hzi mbili
Moja,labda umri uende niwe sijaolewa
Pili,kwa sa hvi labda awe lipapaa (awe na HELA)...,otherwise ntazifuta hzo hela na kijana mwenzangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We binti wa marangu ..... Yaani ni shura[emoji16][emoji16][emoji38][emoji16][emoji38]oyooo yani sijasoma kote nimenusa hela .. hongera bana
ha hahahaWe binti wa marangu ..... Yaani ni shura[emoji16][emoji16][emoji38][emoji16][emoji38]
Ha ha ha ha haeti wanasema mapenzi mfyuuuu