Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!

Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!

Heheheheh...
Hakuna mwanamke anapendelea mumewe aoe mke mwngine...na mume akiamua kuoa huwezi mzuia..
Kuongeza mke ni ruhusa Mungu alishawapa,nitake nisitake,nipende nisipendw ishakua hvo...

Mm kuolewa mke wa pili labda kwa situation kati ya hzi mbili

Moja,labda umri uende niwe sijaolewa

Pili,kwa sa hvi labda awe lipapaa (awe na HELA)...,otherwise ntazifuta hzo hela na kijana mwenzangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha nidhani wewe ni mtu wa imani huna tamaa na pesa, kumbe Mungu moyoni pesa mfukoni[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaume tafuteni pesa mapenzi yaliishaga enzi za mababu
 
Sio lazima kujibu kile unacho ulizwa, ingawa kimsingi hilo swali la chura limekaa kikushoto, lakini ulipaswa kulijibu politely ama kulipuuza.
Hapa hakuna mwenye kuhitaji kuujua undani wako, zaidi ni kujifurahisha na kuona upeo wako wa kufikiri.
Don't panic bhana
Muhenga una akili wew
 
Back
Top Bottom