Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!

Haha nidhani wewe ni mtu wa imani huna tamaa na pesa, kumbe Mungu moyoni pesa mfukoni[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaume tafuteni pesa mapenzi yaliishaga enzi za mababu
 
Muhenga una akili wew
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hakyanani we mjanja, maswali flani ali skip kijanja nawe ukaja kivingine japo lengo ni lile lile..
Chezea mwanaume akiamua!![emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…