Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!

Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!

Nliijua JF mwaka huu January hamuezi amini,nlikua sijawahi hata isikia

Nlikua na stress za mahusiano sa my friend akanambia ingia JF uone watu wana worse situation na may be ukiwa open unaweza pata ushauri zaidi kama unaona wa kwangu (huyo my frnd) upo biased.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichoijia ulikipata
Unajutia kwa namna yeyote kujiunga humu

DJ sepetu
 
Huyu jamaa ana group la tabia mbaya whatapp, pia wana interview za hivyo(kitimoto), na alinitoa baada ya kukwepa kujitambulisha na kutaka kufanyiwa interview.
Wewe ushasema jambaz ndio maana nilikutimua[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom