Mrembo hajui kumuandaa kuku

whitehorse

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2009
Posts
2,565
Reaction score
4,432
Hello wana Chit - Chat

Nilikuwa napiga story ofisini na mates wenzangu tulikuwa na story za namna ya kuimaliza weekend ya mwisho wa mwezi bila vishawishi vya kutumia pesa ovyo ndio ikaja topic ya jinsi hali ngumu ya uchumi ilivyofanya watu wabadili utaratibu wa kula makange, pizza na burger huko kwenye food corners na maeneo mbalimbali ya kula bata batani hapa mjini.

Sasa kuna mate wangu akatupa story hii yeye ana mpenzi wake kweli mzuri sana wa sura na umbo ila tabia me sijui nadhani anaijua mpenziwe akatusimulia jinsi alivyochoka na umbumbu wa mrembo wake kwenye masuala ya kuandaa vyakula jikoni. Akasema alimshtukia mrembo siku myingi kuwa kwenye mapishi yuko ovyo hivyo akaamua kukaza a hapo hapo ili ajiridhishe kama ni kweli au hisia zake tu.

Huyu jamaa alipata kijisafari cha mkoani week zilizopita wakati anarudi akabeba kuku wa kienyeji huko njiani. Weekend iliyofuata akamkaribisha mrembo waje wamshughulikie. Jamaa anasema alimtafuta hamisi chinjachinja wa mtaani akampiga kisu ili awe "halal" kazi ikaangukia kwa mrembo sasa. Mrembo hajui manyoya kama hutolewa na maji moto jamaa akatoa maelekezo maana aliona mrembo haelewi namna ya kumnyonyoa kuku manyoya
Mrembo akafanikiwa kuweka maji moto na kuanza shughuli ya kumtoa manyoya kuku huku amenuna hamna mfano ☹️☹️☹️
Baada ya kumnyonyoa kilichofuata hapo ni kumkata vipande maana kama mjuavyo kuku ana vipande vyake kadhaa vinajulikana kwa macho na majina kama vile paja, kipapatio, shingo, firigisi na kadhalika jamaa anasema aliondoka jikoni akamuacha mrembo aendelee na phase (hatua) ya pili
Anasema baada ya muda mfupi aliamua kumchungulia mrembo wake ili kujua anaendeleaje na mambo ya butcher akakuta mrembo yuko busy anakataka nyama kwa mtindo wa ajabu kabisa alikuwa anakatakata vipande vidogo vidogo kama vya mishkaki . Jamaa akaona hii kali lakini alijipa moyo kuwa labda mrembo ana mikato yake ila jamaa anasema alikosa raha hakuamini alichokiona akaamua amuache aendelee kuandaa yule ndege kwa style ile mpya machoni pake.

Baadae akaendela na mapishi kule jikoni akapika na wali jamaa anasema alishindwa kula hata kipande kidogo maana kuku alikuwa haeleweki shingo imechanganyika na kipande cha kipapatio badala yake nyama ikawa inatisha sio kidogohalafu anasema ilikuwa na harufu ya mavi ya kuku anahisi utumbo ulikatwa katwa na hivyo kinyesi kikatapakaa kwenye minofu

Jamaa amepanga mkakati kwa sasa anafanya utaratibu wa kumtafutia kisa kidogo tu mrembo yule ili amuache mara moja ameona hana vigezo vinavyoendana na mambo ya jikoni. Mrembo ana miaka 24 hajui kuandaa kuku mbichi amezoea kutoa order vibandani " chips kuku paja funga na pilipili pembeni" na akiletewa kuku mwenye manyoya anashindwa kuonyesha hilo paja na kidari viko wapi

Weekend njema wana Chit-chat
 
🙄😵🙄🙄😳😱
 
Vingine wanaume tuwafundishe wapenzi wetu sio wote wamekulia maisha ya kitaaa, sa kama hata hilo dogo tu unasema kwa watu daaa mi siwezi kabisa her failure is mine too, so I will struggle by any means to help her till she catch up, siwezi msema mtu wangu vibaya aisee.
Huyo mwanaume wa dar bila shaka kaamia Dodoma sasa na pm
 
Mtoto wa kike asiye jua kupika ni tatzio kwa kweli
Japo kumuacha si vizuri ila inaruhusiwa na ni sababu tosha.
*nna ndugu yangu alisema ataoa hivo hivo aaah wane sasa hivi ni kama wana obesity hivi shida hiyo
 
Mimi kuna mmoja alitumia Unga wa ngano kupika ugali akidhani kuwa ni unga wa sembe.

Na kitu ambacho nilishindwa kuamini alipika kabisa. Haya mambo haya aisee
 
...sasa kama hajui kuandaa kuku si unamnunulia bata
 
Si amfundishe Ye apendavyo.
Kakosa heshma kumkebehi mpenzi wake mbele
Yenu . Zoba.
Yaan aanze kazi ya kumfindsha kisa uzembe wake mwenyewe
Huyo anaachwa tuu hakuna namna nyingne hapo
 
Tumbafu zenu tuwaache tu hakuna namna maana km wazazi wenu mumewashinda sie tutawawezea wapi?

MJUE HATUPENDI UJINGA[emoji41] [emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Yaani jitu zima kabisa hilo halijui kupika halafu livumiliwe!!!
 
Tumbafu zenu tuwaache tu hakuna namna maana km wazazi wenu mumewashinda sie tutawawezea wapi?

MJUE HATUPENDI UJINGA[emoji41] [emoji41]
Peleka ufala huko.
Nani aliekwambie huyo anatakiwa kuwa house girl wako. We unaenda offisini na ye anaenda ofisini majukumu ya nyumbani mnasaidiana.

Kwa vile wewe fala hauelewi chochote .
Si umuache nani alikulazimisha kuwa nae.
Kapige punyeto maana ndio kitu ulichozoea.
 
Kama
Yaan aanze kazi ya kumfindsha kisa uzembe wake mwenyewe
Huyo anaachwa tuu hakuna namna nyingne hapo
hicho ndicho kikwazo Cha kumuacha mtu basi
Muache.

Hamjui starehe na raha za mapenzi nyie.
Sijui mmlikulia kwenye mabua gani.
 
Bila shaka unatumia matako kufikiri..[emoji41] [emoji41] and it semeed you don't know the distinction of man and woman. Kwa akili yako kichele unadhani tunatofautishwa na 'ke na 'ume[emoji15] [emoji15] [emoji15]. Ujitambui kinyamkela weeeh!
 
Bila shaka unatumia matako kufikiri..[emoji41] [emoji41] and it semeed you don't know the distinction of man and woman. Kwa akili yako kichele unadhani tunatofautishwa na 'ke na 'ume[emoji15] [emoji15] [emoji15]. Ujitambui kinyamkela weeeh!
Haina haja ya mimi kubishana na pimbi. Wewe hata nikuwekee tarumbeta masikioni hutakaa uelewe.
 
Bila shaka unatumia matako kufikiri..[emoji41] [emoji41] and it semeed you don't know the distinction of man and woman. Kwa akili yako kichele unadhani tunatofautishwa na 'ke na 'ume[emoji15] [emoji15] [emoji15]. Ujitambui kinyamkela weeeh!
Mkuu tulia waweza kuwa unabishana na Me mwenzio humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…