Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrungi si kama big g tuu..huku matejoo ndio kifungua kinywa chetu hicho
Big G..???:A S 13:...Na huko Matejoo ndio wapi?
ngoja nikutafutie, nikipata nitakutumia kwenye pm
Big G..???:A S 13:...Na huko Matejoo ndio wapi?
Avatar ya Red devil ni full kiburudisho
kwani mirungi ina tatizo gani jamani
inategemea na mtuKwani Mbuzi Katoliki ana tatizo gani.
Mirungi mbona poa tu..unataka kuja kutukamata unauliza matejoo ni wapi?