Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Hiyo itaisha, kwanza ni kidogo!
Mtaani ikijulikana kama nusu na robo,mbona hata ndizi hakuna?kachumbari kainyimia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo itaisha, kwanza ni kidogo!
Big G..???:A S 13:...Na huko Matejoo ndio wapi?
Mtumishi, imekuaje tena una mchafua mwenzio? Ndoa tayari imesambaratika, sivyo?Naona binti wa kiislam akila zake kitimoto kwa raha zake.
Mtumishi, imekuaje tena una mchafua mwenzio? Ndoa tayari imesambaratika, sivyo?
HahahahahaHahah binti Zuwena Mohamedi huyo akipata haramu kidogo mtumishi.
Naona leo amepewa kichapo kizito kidogo na bwn ake.
Mna mjaji sana maisha yake, kila mtu ana uhuru wa kuishi vile anavyopenda, nyie nyuma ya keyboard mbona maisha yenu yanatia huruma sana lakini hakuna wakuwasemea, kausheni msihukumu kabla hamjahukumiwa
Hiyo mbona freshi.Mrembo huyu kwanini anakula kitimoto?
miaka hii ukimpelekea hii picha anaweza kujikana sio yeyeDuh anatwanga mbuzi katoliki mtoto katulia haswa.
![]()